Mkoa mpya wa Simiyu makao makuu yake ni wapi au yatakuwa wapi?

Kaseko

Senior Member
Feb 15, 2011
160
32
kuna mijadala inayoendelea juu ya suala hilo na wananchi wa maeneo husika wamekuwa hawajui juu ya hatma ya suala hilo, kuna wengine wanasema itakuwa Bariadi wengine makao makuu ya mkoa huo yapo Maswa kwa Shibuda jaman wana jf naomba tujuzane juu ya suala hili basi.
 
Maswa ndiyo iliyo izaaa Bariadi hivyo wengi walikuwa wanapendekeza makao makuu ya Maswa lakini kwa siku za karibuni Bariadi imekuwa na maendeleo kwa kasi kuliko Maswa...hivyo wengi wanapendekeza makao makuu yawe Bariadi...
 
Yatakuwa Bariadi Confirmed.
 
Back
Top Bottom