Mkoa maskini kuliko yote Tanzania

Poverty can be measured in different ways, one of them is to use the Poverty Head Count Ratio (PHCR); which is the proportion of the population whose incomes are below the official poverty line. The results from the second Household Budget Survey conducted in 2007 indicate that Tabora (12.1 %) and Dar es Salam (17.5 %) have the smallest poverty head count ratio, and Dodoma (35.3 %) and Singida (33.8 %) have the highest percent of the population living below the poverty line. In conclusion, Dodoma is the poorest region in Tanzania, full stop!!!
 
Kwa kumbukumbu na data za serikali Singida ndiyo mkoa maskini zaidi ya mikoa yote Tanzania,nawakilisha.
 
  • Thanks
Reactions: ram
hivi ng'ombe, pamba na mpunga haviangaliwi au ni madini yanayotajirisha ccm tu.










MSUASO vp? neno umaskini lina maana pana sana lakini kwa ujumla tunaangalia ni mkoa upi ambao wananchi wanaishi kwa maisha duni zaidi ya mkoa mwingine. Aidha tunaangalia upatikanaji wa huduma za kijamii pia huduma zingine kama vile za kifedha, masoko ya bidhaa na bila kusahau mzungo wa fedha.
 
singida, na dodoma zinaogopesha, zinatisha, zinatia huruma.
 
JnWR8NR0AAAAAElFTkSuQmCC
http://www.tanzania.go.tz/regions/COAST.pdf

Page 13

Tabora
 
Wilaya masikini kuliko zote ni Monduli na Longido, wanaishi kwa kumtegemea EL juzi kati hapa ilipoumana ng'ombe wakafa, iliwabidi wamwambie, kaite ile rafiki yako nyeupe ile ngaiyoni chikwete iturudisie ngiteng (ng'ombe) utadhani JK ndiye aliwauwa hao ng'ombe.
 
Mohammed Shossi wewe hujamuelewa huyu yeye alitaka awe wa kwanza kuchangia

Na kwa akili yako mwenyewe ya Kinyamwezi umeona hapo umenifumaaaaa!

Tetea hoja kama kuna la maana mnalofanya shambani. Kila mtu na kikopo chake chenye tundu ili nyuki waingie na yeye akawahi stendi na chupa zake za konyagi kuuza asali kwenye mabasi yanayotoka Mwanza.

Igunga kuna kashule kamoja tu ka A-Level na bado watu hawajai, wako bize na magogo wanayatoboa kwa kati kati.
 
habari hii nimeipenda mno nadhani mabishano yetu yanaweza kutusaidia tukaangalia jinsi ya kuwasaidia maskini wenzetu. kwa kweli mvua katika kanda ya kati hazieleweki lakini watu hawa walizoea kubebwa mno na walw walio nacho walipenda kunyenyekewa hawakuwa tayari kuona wenzao wanakuwa na uwezo kuliko wao. dodoma wanasema wakifa watu watatu kutatokea mabadiliko makubwa kwa sababu wao wamekuwa wanataka yafanyike wanayotaka wao tu. na kwa bahati mbaya wanasauti lakini NGO nazo zimekuwa nyingi na nyingi za kuwapa samaki na sio nyavu wavue wenyewe
 
Mkoa masikini kuliko yote ni mkoa wa PWANI

Anakotoka Mkuu wa Nchi Tanzania

Angalia

Makuti.jpg


SUBIRI MWAKA 2015 WOTE WATAKUWA MATAJIRI


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Kura yangu inadondokea dodoma makao makuu ya nchi sasa ndo upate picha nchi ikoje.
 
Singida,Lindi na Mtwara sidhani kama watakosa kuingia top 5,ikifuatiwa na Dom.Hawa ndiyo mama wa umaskini tz waliko wekeza magamba.
 
Back
Top Bottom