Mkoa gani unapendelea kuishi hapa TZ na kwanini?

Mimi binafsi naupenda mkoa wa Arusha kwanza kabisa kutokana na hali yake ya hewa ya ubaridi pili ni kutokana na mazingira yake ambayo yamezungukwa na misitu mingi na uoto wa asili wa kila aina.
 
Kijana ulikuwa wapi??
Hebu ni pm faster
 
Mbona yupo tu....kama akikukwepa nambie nikupeleke faster....

alinikwepa bana, ila nasikia mtu chake ameweka kambi Yaeda labda ndo mana Preta anakwepa kugonganisha magari,, mimi Fuso, mtu chake starlet. Unajua mwenyewe nini kitatokea.
 
Hahahaa
Mjanja....dawa yake kujilocate Yaeda then ye atajua namna ya kuwahandle
 
mimi napenda Arusha!bangi inapatikana ya ubora wa hali ya juu,kwa wingi na kwa bei nafuu!jj!(this message has been deleted by Mc Tilly Chizenga)
 
Back
Top Bottom