Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
Ashadii na Dena Amsi.
Mimi nimewamiss wafuatao:
Hubby wangu wa Ukwenhe ruttashobolwa akiwa humu Chitchat,
Jukwaa la wakubwa, Kimbweka na Rungu,
Jukwaa la Stress anapatikana mtu mmoja tu mayome,
Wa ukwenhe mwingine Erickb52, wakati ndio sasa na bandidu mwenzie St. Paka Mweusi, Mdogo wangu beibe nasty na mmewe Judgement,
Wake wa Asprin, wanajijua maana sitaki ugomvi na bila kumsahau mdogo wangu mwingine Ipycalypse.
UJUMBE:
Save Water, Drink

Mwaka huu lazima kieleweke, tena msimamizi wakati ndio sasa,na hapohapo babu Asprin keshaniambia ngoma nitakayo kuicheza ni kubwa basi wacha nikaze buti kwa jinsi navyopenda ngoma kubwa we acha tu.......hivi leo chungu cha ngapi vile..??
Klorokwini, magulumangu , Kokudo, El-Toro, Dreamliner.
Maria rosa, Rose1980, Wiselady, Dena Amsi, Ashadii