Mko wapi mliosoma chanzige 1982 -1988...?

Dada yangu Binamu pia alisoma hapo.....................LOL

Walimu sasa wa hapo sijuiwi wako wapi jamani - kama Mwl Sijaona; Kidudu; Kesi; Gungulugwa; Kamna; Mwaipaja; etc? Najua wengine watakuwa RIP sasa!
 
Mmmmh ina maana wa CHANZIGE hampo humu JF,
Mbona najua hapo pametoa maGT wengi tu...
 
Back
Top Bottom