Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

Pro-CCM wote humu Jamvin wameingia mitini kumbe mioga. Mkuu Yericko Nyerere ukiona wameleta thread ya Zitto na CDM naomba utumbukize humo hii ya Lowassa na CCM lazima waingie mitini. Lowassa ni kiboko yao wote wanamuongelea chini ya meza na chooni

Hatujaingia mitini si lazima kujadili kila utumbo!!

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
unataka ushahidi ok iyo kazi rahisi sana kipindi kuna sakata la richmond waziri mkuu alikuwa lowassa na inaonesha kulikuwa kuna makubaliano baina yao hawa wawli lowasaa na kikwete sasa hapo kuna msafi angekuwa msafi angekubali huu upuuzi kama anawapenda kweli wananchi wake wa tanzania............
Mkuu unajua maana ya ushahidi kuletwa mezani?

Nataka ulete hayo makubaliano yao hapa, na ulete ushahidi wa ufisadi wake hapa!

Hayo unayoyasema bado ni yakufikirika au yakusimuliwa tu!

Skani hizo nyalaka za makubaliano yao na nyalaka zote zinazoonye Lowassa ama alijipatia mali yoyote kwa udanganyifu au kwakutumia cheo chake!
 
jamaa alipewa kazi ya kusimamia janga la mafuriko huko kusini mwa Tanzania ikawa balaa! na zile lanchi alizojimilikisha vipi? uchumia tumbo balaa! hasahasa hawa watoto wa juzijuzi taaaaabu kwelikweli!!
 
HUU HAPA SASA

BARARE LIMITED
the above mentioned company which was incoporated on 7th april 1997 and was issued with incoparation number 31760
the shareholders
1; EDWARD NGOYAI LOWASA 500 shares
2; regina mumba lowasa 500 shares
 
Mpaka anaiba kote huko na kwa kiwango hicho hakuchukuliwa hatua zozote?

Kwani nchi hii haina vyombo vya usalama?

Hebu acheni porojo elezeni ukweli kuwa mnafuata mkondo msioujua wa siasa chafu!
 
HUU HAPA SASA

BARARE LIMITED
the above mentioned company which was incoporated on 7th april 1997 and was issued with incoparation number 31760
the shareholders
1; EDWARD NGOYAI LOWASA 500 shares
2; regina mumba lowasa 500 shares

Ndugu tumia akili yako ipasavyo, kwani mtu kuwa na Kampuni ni ufisadi?

Mbona unakosa mashiko mkuu?

Mimi ninakampuni 5 hapa tz na 2 nje ya nchi, je ni fisadi?

Ninaposema naomba ushahidi wa ufisadi namaanisha ushahidi wa wizi kupitia kampuni zake ama yeye mwenyewe mojakwamoja!
 
kumbe naongea na mtu asiejua kinachoendelea haya bhana kampeni njema
 
lowasa ameoza na wewe yeriko jipange maskio yako hayaskii na una macho huon na una ubongo huelewi.. Na sisiem yote imeoza haina jipyaaaaaaa ni kapu la magamba kama wamekutume tel zem z mision failed...
 
Toa hoja kwanini hasafishiki. Kachafuka wapi?

Sio unaleta Argumentum ad populum hapa

Naona Lowassa anatetewa kwa nguvu humu naona katuma vijana wake ili wamsafishe kwania ya kugombea Urais mwaka 2015 lkn si hoja. Kama anataka kugombea agombee Urais hamna shaka ila sio kuja kujisaisha humu facebook na haimaanishi kwamba yeye ni mchafu kwani anayo haki ya kugombea kama Mtazania.
 
point of correction hapa sio Facebook ni JF Lowassa yupo juu mkuu
 
point of correction hapa sio Facebook ni JF Lowassa yupo juu mkuu

Oky kama yuko juu haina haja ya kuja kumnadi humu JF. Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza. Sasa kwa kauli yako haihitaji mtu kuwa msomi kujua kuna watu wanampigia dede humu JF. Endelea kumpigia debe tunajua kwamba wapo anaowalipa salary kwa kazi hiyo na kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa mmoja wao.
 
Unajua uhusiano wa vyombo vya habari na mwanasiasa na siasa kwa ujumla?

Tafuta kujua na ukijua utaungana na mimi hapa na kule, kunena juu ya siasa za wanamalenga!
 
kumbe naongea na mtu asiejua kinachoendelea haya bhana kampeni njema

Mkuu mantiki ya thread hii imebeba mbamo mawilili tu,

1) Pingamizi kwa Lowasa kuwa Rais wa Tz!

2) Ushahidi wa Ufisadi wa Lowassa kwa vielelezo mahususi

Kisha angalizo:

Mkimgusa Edward Lowassa, mtasahaulika ktk siasa za Tanzania!

Yajibu hayo kwa mizania sawia!
 
Ni hiyohiyo, hivi unafikiri tukikaa kumjadili humu anaweza badilisha nia?

Hehee mkuu lengo langu ni kuona Lowassa anatimiza ndoto na haki yake ya kugombea Urais kupitia chama kilichomlea na alichozaliwa na kukulia yani ccm!

Haijalishi atashinda ama kushindwa, ila agombee URAIS
 
Dogo umeshaonjeshwa za mafisadi nini? huyo bwana wako kwishney, afya mgogoro mshauri atunze hizo pesa za wizi alizojikusanyia, zimsaidie kwa matibabu siku za usoni maana tunataka kumuondoa kwenye mafao hakustaafu alistaafishwa, badala ya kuendelea kuzimwaga makanisani eti anawekeza kwaajili ya urais hana chake. Wi mwafu sana Sekirigi vee!

Kama utaki kuyaamini ya Yeriko, je umeyastaajabu ya mzee wa vijesent na kachenji ka radar mjengoni? Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana. Only time will tell, stay tuned son.
 
Back
Top Bottom