mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,366
- 223
Naona Lowassa umekuja kivingine.
Nilishawahi kupost thread kama hii siku za nyuma nikashambuliwa sana.. Nway sio ishu.
Swali kwa mleta thread (jibu kama ninavyouliza na si kunishambulia, japo kdogo natoka nje ya mada) hivi wewe ni CHADEMA au CCM?
Naona Lowassa umekuja kivingine.
Nimechoka na habati za Lowasa..tuache fate ichukue mkondo wake, tuwaachie pia wananchi.
Tatizo huyo Lowassa habebeki wala hasafishiki hata mkitumia nini.
aje kitaa afunguke watu wote waujue ukweli kama kweli yeye ni msafiKatika maelezo ya Lowasa ambayo ndio ufunguo halisi wa kufuta kashfa hiyo pale dodoma chini ya wajumbe wote wa NEC ya ccm, Lowassa alisema wazi kuwa Richmond ni nini na ni nani, hivyo kwa sasa hana mda wa kujibu hayo zaidi ya kuelekea magogoni tu!
lowasa ameoza na ananuka ufisad nashangaa mnavyo mshobekea na kumshadadia!
Haahaaa mkuu we kuwa Shekhe Yahaya bwana!
Pigia mstari
aje kitaa afunguke watu wote waujue ukweli kama kweli yeye ni msafi
Ulete hapa huo ufisadi wake mkuu,
Mbona unaongea bila vielelezo?
Hehee mimi husimamia ukweli, sio hadithi za kufikirika tu!Kupenda kubaya...Chongo huita kengeza
Hehee mimi husimamia ukweli, sio hadithi za kufikirika tu!
Mkuu unamzungumzia Slaa na Chadema kwa ujumla ambao ndio wanaaminisha watanzania kwamba Lowasa ni fisadi, pasipo ushahidi!?
Lowasa sio fisadi, ndio atakuwa mgombea wa urais pekee kupitia mgamba. Hatutaki pingamizi,mwenye ushahidi kuwa ni fisadi athibitishe hapa. 2nampenda.