Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

Pro-CCM wote humu Jamvin wameingia mitini kumbe mioga. Mkuu Yericko Nyerere ukiona wameleta thread ya Zitto na CDM naomba utumbukize humo hii ya Lowassa na CCM lazima waingie mitini. Lowassa ni kiboko yao wote wanamuongelea chini ya meza na chooni
 
Hahaaa walinichefua sana na uzi wao wa Zitto! Leo wanachungulia kwa mbali tu!
 
UVCCM ikiongozwa na mtoto wa kikwete walisema Rais 2015 hatatokea kaskazini... so lowasa kua mgombea itakua ishu watu wa pwani against watu wa kaskazini kazi kweli kweli...mimi sipendi ccm lakini lowasa akiwa mgombea anaweza kunifanya nikafikiria mara mbili mbili kura yangu nimpe nani

Zama hizi za M4C tunazungumzia mifumo ya vyama na sio mtu. Miaka 50 wa uongozi wa CCM bado inadhihirisha kuwa chanzo cha kudidimiza maendelea ya taifa ni mfumo mbaya ndani ya chama hicho.

Sasa unamzungumzia mtu ambae alikuwa ndani ya mfumo huohuo na alishindwa kujipambanua na ufisadi (hata kama ni Richmond pekee) Lakini alitakiwa kusimama imara kama yeye na kuukataa ufisadi huo ambao wanasema mhusika mkuu ni boss wake. Mimi naamini wote wawili ni wahusika wakuu.

Kama Lowasa anataka kujisafisha na kukubalika machoni pa wananchi walio wengi ni kwamba atoke CCM sasa hivi na aseme yote yaliyojificha ndani ya Richmond. Ninahisi sehemu ya fedha zinazotokana na ufisadi wa Richmond amekuwa akizirudisha kwa mlango wa nyuma kusaidia makanisa. Lakini sina uhakika wa rekodi zake jinsi alivyosaidia misikiti ili kuleta uwiano.

Namshauri pia akitoka CCM asikurupuke kuingia kwenye chama kingine hadi atakapowaeleza wananchi kutokuhusika kwake na Richmond ambayo yeye aliibeba kama mdhamini.
 
Lowassa ndiye atakaye gombea urais kupitia CCM 2015 na hamna mtu yeyote ndani ya CCM mwenye ubavu wa kumzuia wote waoga kama kunguru na ana uwezo wa kusema lolote na mahali popote ndani ya CCM bila ya kujali makunyanzi ya kina Mkuchika wala Mukama lowassa ni kikosi cha Mizinga kutoka kaskazini NI LAZIMA URAIS UENDE KASKAZINI KUPITIA LOWASSA makanisa yatamsaidia sana kwani ameyachangia sana
 
Zama hizi za M4C tunazungumzia mifumo ya vyama na sio mtu. Miaka 50 wa uongozi wa CCM bado inadhihirisha kuwa chanzo cha kudidimiza maendelea ya taifa ni mfumo mbaya ndani ya chama hicho. Sasa unamzungumzia mtu ambae alikuwa ndani ya mfumo huohuo na alishindwa kujipambanua na ufisadi (hata kama ni Richmond pekee) Lakini alitakiwa kusimama imara kama yeye na kuukataa ufisadi huo ambao wanasema mhusika mkuu ni boss wake. Mimi naamini wote wawili ni wahusika wakuu. Kama Lowasa anataka kujisafisha na kukubalika machoni pa wananchi walio wengi ni kwamba atoke CCM sasa hivi na aseme yote yaliyojificha ndani ya Richmond. Ninahisi sehemu ya fedha zinazotokana na ufisadi wa Richmond amekuwa akizirudisha kwa mlango wa nyuma kusaidia makanisa. Lakini sina uhakika wa rekodi zake jinsi alivyosaidia misikiti ili kuleta uwiano. Namshauri pia akitoka CCM asikurupuke kuingia kwenye chama kingine hadi atakapowaeleza wananchi kutokuhusika kwake na Richmond ambayo yeye aliibeba kama mdhamini.

Sasa mbona CCM wanaogopa kumfuza kama hawamuogopi? Yule ni mwamba mkuu wakijaribu tuu CCM inakufa
 
Katika maelezo ya Lowasa ambayo ndio ufunguo halisi wa kufuta kashfa hiyo pale dodoma chini ya wajumbe wote wa NEC ya ccm, Lowassa alisema wazi kuwa Richmond ni nini na ni nani, hivyo kwa sasa hana mda wa kujibu hayo zaidi ya kuelekea magogoni tu!
 
Chondechonde Kikwete achana na agenda hiyo ya UPOLE, inakiua chama chako na serikali yako,

Ni karibu miezi 28 sasa, Edward Lowassa amekuwa agenda kuu ndani ya CCM na wanaccm wenye, si mwenyekiti wala mjumbe wote mioyo yao ni Lowasa tu, wengi wakitaka ajipambanue nakuwa nyota huru ya chama na wachache walio juu ya chama wakitaka kumpoteza gwiji huyu wa siasa za ukwasi na fitina msonge!

Ikumbukwe kuwa doa kuu linalotajwa kuwa Lowa ni fisadi ni Richmond, lakini nani asiyejua richmond ni nani na ilikuwaje? Pale dodoma Lowasa ameweka wazi mbele ya Mwenyekiti kuwa hakuna kilichotendeka ambacho mwenyekiti hakukijua ama kumtuma! Narudia tena UCHAFU wa LOWASSA ni RICHMOND tu!

Nauliza tena RICHMOND ni nani? Mwenyekiti alijibu nini siku ile pale Dodoma wakati lowassa anamhiji zaidi ya kuinamisha kichwa chini hali iliyopelekea BWM kumtuliza Lowasa?

Sasa Lowassa anakitaka Chama na agombee urais na ameshashinda ndani ya Chama na nusu uwanja nje ya chama, shime ccm, ili muendelee kuitwa chama cha siasa japo mwaweza kuwa wapinzani zuieni jaribio la mwenyekiti wenu la kujaribu kumzika Lowassa angali amekibeba chama!

Kuna juhudi za kitoto ndani ya ccm eti wapo kwenye harakati za kumuuandaa January Makamba kugombea Urais 2015, wanatumia raslimali za nchi kujijenga kisiasa kwa upinde wa mvua ya siasa!

Chondechonde mwenyekiti wa ccm ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Amini Lowassa ndie chaguo la wanaccm wote hata hao wanaojifanya wapo na wewe mioyo yao ipo kwa Lowassa! Wanakula na kunywa kwa mgongo wa Lowassa!

Mwenye USHAHIDI wa wazi juu ya UFISADI wa Lowassa aulete hapa, sio stori za kulishwa vijiweni kisha mnakuja hapa kupiga ngonjera ooho Lowasa fisadi, oooho sijui nini! Leteni utetezi hapa

Mimi nitampa kura yangu ikiwa atagombe japo hata shinda, lakini atakinusuru chama kufutika kabisa duniani!

Rejao, Zomba, Malaria Sugu msianze kuugua matumbo ya ghafla!

EL2015

Lowasa ni fisadi na mla rushwa mkubwa. Alipokuwa waziri mkuu aliwakataza walinzi wa nyumbani kwake wasifungue vifurushi vilivykuwa vinapelekwa kwake na wahindi pamoja na wafanyabiashara wengine wakubwa na baadaye ikagundulikana kuwa vifurushi vile vilikuwa ni makusanyo ya dolla za kimaekani yeny lengo la kufadhili harakati za kumwangusha kikwete mwaka 2010.

Ogopa lowasa, anatisha kwa rushwa na ufisadi na ana uwezo wa kuwauza watangayika wote.
 
Huo sio ushahidi wa uchafu au ufisadi ndugu,

Unajua maana ya kugundulika?

Ukigundulika maana yake utafikishwa mahakamani!
Sasa niambia chombo gani cha dola ktk nchi hii na nje ya nchi kilichowahi kumchunguza na kumgundua kuwa fisadi?

Lete ushahidi hapa acha porojo za kufikirika ndugu!
 
Chondechonde Kikwete achana na agenda hiyo ya UPOLE, inakiua chama chako na serikali yako,

Ni karibu miezi 28 sasa, Edward Lowassa amekuwa agenda kuu ndani ya CCM na wanaccm wenye, si mwenyekiti wala mjumbe wote mioyo yao ni Lowasa tu, wengi wakitaka ajipambanue nakuwa nyota huru ya chama na wachache walio juu ya chama wakitaka kumpoteza gwiji huyu wa siasa za ukwasi na fitina msonge!

Ikumbukwe kuwa doa kuu linalotajwa kuwa Lowa ni fisadi ni Richmond, lakini nani asiyejua richmond ni nani na ilikuwaje? Pale dodoma Lowasa ameweka wazi mbele ya Mwenyekiti kuwa hakuna kilichotendeka ambacho mwenyekiti hakukijua ama kumtuma! Narudia tena UCHAFU wa LOWASSA ni RICHMOND tu!

Nauliza tena RICHMOND ni nani? Mwenyekiti alijibu nini siku ile pale Dodoma wakati lowassa anamhiji zaidi ya kuinamisha kichwa chini hali iliyopelekea BWM kumtuliza Lowasa?

Sasa Lowassa anakitaka Chama na agombee urais na ameshashinda ndani ya Chama na nusu uwanja nje ya chama, shime ccm, ili muendelee kuitwa chama cha siasa japo mwaweza kuwa wapinzani zuieni jaribio la mwenyekiti wenu la kujaribu kumzika Lowassa angali amekibeba chama!

Kuna juhudi za kitoto ndani ya ccm eti wapo kwenye harakati za kumuuandaa January Makamba kugombea Urais 2015, wanatumia raslimali za nchi kujijenga kisiasa kwa upinde wa mvua ya siasa!

Chondechonde mwenyekiti wa ccm ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Amini Lowassa ndie chaguo la wanaccm wote hata hao wanaojifanya wapo na wewe mioyo yao ipo kwa Lowassa! Wanakula na kunywa kwa mgongo wa Lowassa!

Mwenye USHAHIDI wa wazi juu ya UFISADI wa Lowassa aulete hapa, sio stori za kulishwa vijiweni kisha mnakuja hapa kupiga ngonjera ooho Lowasa fisadi, oooho sijui nini! Leteni utetezi hapa

Mimi nitampa kura yangu ikiwa atagombe japo hata shinda, lakini atakinusuru chama kufutika kabisa duniani!

Rejao, Zomba, Malaria Sugu msianze kuugua matumbo ya ghafla!

EL2015

Dogo umeshaonjeshwa za mafisadi nini? huyo bwana wako kwishney, afya mgogoro mshauri atunze hizo pesa za wizi alizojikusanyia, zimsaidie kwa matibabu siku za usoni maana tunataka kumuondoa kwenye mafao hakustaafu alistaafishwa, badala ya kuendelea kuzimwaga makanisani eti anawekeza kwaajili ya urais hana chake. Wi mwafu sana Sekirigi vee!
 
Hahaa hawanajeuri ya kumkanya wala kunyoosha kidole juu ya Lowassa!

Nilishawahi kupost thread kama hii siku za nyuma nikashambuliwa sana.. Nway sio ishu.

Swali kwa mleta thread (jibu kama ninavyouliza na si kunishambulia, japo kdogo natoka nje ya mada) hivi wewe ni CHADEMA au CCM?
 
Yericko nimeipenda hii counter attack yako, imetulia.
Haahaa hawa hawajui siasa za kistaara wanapenda za majitaka, sasa nimewaonyesha kuwa na zamajitaka hawajui!

Watulie waje wawe wapinzani wazuri huenda tukawafikiria hata kuwapa vyeo vya akina Mbatia!
 
Dogo umeshaonjeshwa za mafisadi nini? huyo bwana wako kwishney, afya mgogoro mshauri atunze hizo pesa za wizi alizojikusanyia, zimsaidie kwa matibabu siku za usoni maana tunataka kumuondoa kwenye mafao hakustaafu alistaafishwa, badala ya kuendelea kuzimwaga makanisani eti anawekeza kwaajili ya urais hana chake. Wi mwafu sana Sekirigi vee!

Sijalipwa, nasiamini kama analipa!

Nimesema kile ninachoamini na kukiona ndani ya ccm na taifa!
 
Back
Top Bottom