Mkichagua upinzani hamtopata msaada na huduma kutoka serikalini.IT WAS UNFORTUNATELY.

Mkwanda

Senior Member
Apr 6, 2012
123
14
Wadau kauli hii ilitolewa na mh Nagu alipokua kwenye kampeni pamoja na baadhi ya mawaziri wengine walioshiriki katika kampeni arumeru east.Mh Mbowe alimuuliza Waziri mkuu na akajibu kua it waz unfortunately ukizingatia ilitolewa jukwaani.Magamba kabla hamjatoa boliti kwenye jicho la kamanda wetu Nassari angalieni la kwenu kwanza.NAWASILISHA!
 
Kazi ya magamaba(ccm)na Serikali yake ni kufanya mambo kwa manufaa yao tu,na kwao "mkubwa huwa hakombi mboga".Wakiamua kuibadilisha mbili kuwa nane wanaweza(watapindisha tu).Tujitahidi kujitokeza kuchangia maoni yetu ktk katiba mpya na kumbuka 2015 vote to push them out
 
Mi sio magamba wala magwanda; lakini nataka kujua huyo Nassari alikuwa kwenye kampeni za kitu gani tena mpaka kutamka maneno ya kuitenga kaskazini iwe kama South Sudan?
 
alikuwa kwenye kampeni ya kuunganisha watengwa wa serikali waliotangaziwa na nagu,wasira na ole medeye.
 
misaada gani kutoka serikalini hao mawaziri walikua wanatishia wameru?? Arusha kuna national parks zinaingiza hela nyingi tu from tourism, kuna tanzanite pia...inaingiza plenty of $$$$, hawahitaji msaada kutoka serikalini..sana sana serikali na mawaziri wake kila kukicha wako arusha kwanini?? international conferences zinafanyika arusha so in short waarusha wanaweza kujitegemea hawahitaji msaada wowote kutoka serikalini so huyo nagu na wenzie better recognize that!!
 
Hata ccm wana kauli tata nyingi tu. Kuna mwingine alisema wauaji wa maalbino wauawe.Nasari pekee asihukumiwe kwa hili ila wanasiasa wote wawe makini na kauli zao.
 
Tena nakumbuka kama mtoto wa mkulima vile ndio alitokelezea na kauli hii, kama beautiful lady alivyoshauri wawe makini na kauli zao!!!
 
Ndo maana kaskazini wanataka kujitenga! Maana kama walishaambiwa kuwa watasahauliwa wafanyweje sasa?
 
Wadau kauli hii ilitolewa na mh Nagu alipokua kwenye kampeni pamoja na baadhi ya mawaziri wengine walioshiriki katika kampeni arumeru east.Mh Mbowe alimuuliza Waziri mkuu na akajibu kua it waz unfortunately ukizingatia ilitolewa jukwaani.Magamba kabla hamjatoa boliti kwenye jicho la kamanda wetu Nassari angalieni la kwenu kwanza.NAWASILISHA!

Jamani lugha ya Queen bado tatizo, siyo it was unfortunately, Bali it was un fortunate, wa TZ bado tuna safari Ndefu NA lugha ya mama. Kwani tusiwe Kama wachina wajapani ni?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom