Mkiambiwa mke wa mtu sumu hamtaki sasa jionee mwenyewe yaliyowakuta hawa

JATELO1

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,230
301
WANA-JF,
FUATILIA HIYO LINK HAPO CHINI NA UJIONEE MWENYEWE KILICHOTOKEA KENYA KWA JAMAA ALIYEKUWA AKIVINJARI NA MKE WA MTU.

MKE WA MTU SUMU. FUATA LINK NA JIONEE MWENNYEWE YALIYOWAKUTA LIVE BILA CHENGA.



Bofya video hapo "youtube" utizame.

Maelezo ya aliyeweka video hiyo yanasomeka hivi:

Dude was having some action with someone else's wife and got stuck inside. Pastor comes to save the day.
In Africa we call this witchcraft. I don't know if there's any scientific explanation.










 
hivi hizi dawa zipo???

Sasa wakiumana na mwenye mali yupo safari inakuaje?
 
Mumewe huyu mwanamke kama ana roho nyepesi kama mimi anaweza asitamani tena hiyo kitu maisha yake yote kwani hiyo picha haitaondoka akilini mwake maisha yake yote.
 
jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hivi kweli utajiskije? manake si tu kudhalilishwa hii ni zaid
 
duuh! hii ni balaa kweli kweli.yaani na kinamama wakiamua kututegeshea na sisi mbona itakuwa balaa zaidi!
 
nooma yule aliyekua akitaka acheat i mean getruda aangalie ile picha je ikitokea ni heri tu kupotezea kuliko kucheat
 
Hii picha ni ya mwaka sijawahi kuona zaidi ya kusikia, nimemsikia mwanamke akimwabia mwezake yaani umeshindwa kabisa kutoka,
 
:biggrin1: this is soo funny... i just dont understand how can a penis be stuck in a vagina...kama huamini uganga/uchawi this is proof enough...daamnnn
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom