Mkewe RZ1 alipopata uwakili

Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. hawa watu wawili (Ridhiwani na mkewe) wanastahili kuwa mawakili. Wametimiza masharti yote ya kupewa uwakili. Tuache majungu yasiyo ya msingi. Mkizungumzia PhD ya baba yake, hapo mtaeleweka.
 
The important thing is not to stop questioning" - Albert Einstein<!-- google_ad_section_end -->
 
I here by congratulates you Hon.Advocate of the High Court of Tanzania Mr.R J.M.K for being member of the Tanzania law Society I here by submitt my congratulations with due respect your honour u real deserve this and am too expecting to get it afterward wishing u all da best.May God be with you and the family all the way.
 
Maji hufuata mkondo,baba anapewa shahada za heshima ili awe sawa na kina slaa!!!Kapige shule sio upewe.ona sasa alipewa rz1 sasa mkewe kesho,faraja mtondogoo huyo mjukuu.wengine mbona wanasotea mwaka wa sita sasa!!!Hao wamepata shahada juzi tu hata uzoefu hawana leo mawakili!duh
 
hapa si ikulu hapa jamani...hivi hawa nao wanakaa humu ikulu au walienda kwa mzee kumuonyesha cheti cha uwakili???

mkuu hapa panaonekana kama karimjee hall na sio ikulu sijawahi ingia ikulu lakini sidhani kuwa imefikia kiasi hiki majani yameota ovyoo..lakini nisibishe sana kwa mkwere chochote kinawezekana bwana..
 
Iteitei Lya Kitee, good know umesoma na Arafa.
Naomba unipelekee na hongera zangu kwake.
na wee nawe, huchoki kujipendekeza kwa wakubwa

kesho acid akiwa presidaa, si salamu hizo... hooh alikua jm member tena mshkaji wangu kweli

some things never change
 
Shame on us. Faraja ni mpiganaji kwenye maswala ya kitabu tumesoma nae darasa moja. Shes hardwaorking. Sijui mnachana nn dada wa watu. Sometimes tuweke majungu pembeni na chuki binafsi hasa tunapojadili mada kama hizi. Yuko Rex Artony na ni mchapakazi mzuri.

Ikulu ni yetu mbona wanaitumia kama ya familia ndo hapo watu wanachana live..............
 
Shame on us. Faraja ni mpiganaji kwenye maswala ya kitabu tumesoma nae darasa moja. Shes hardwaorking. Sijui mnachana nn dada wa watu. Sometimes tuweke majungu pembeni na chuki binafsi hasa tunapojadili mada kama hizi. Yuko Rex Artony na ni mchapakazi mzuri.
Faraja au Arafa nguliiii???
 
Nguli & Others nenda mkasome kitabu cha Malcom Gladwell kinachoitwa "Outliers" - mkimaliza mpeni pongezi Arafa/Riz1/ and the likes - Hard working ni relative term - Tusiharibu maana yake!

Hata kama mnadai kabebwa ......fine je kipindi anapiga degree na kozi nyingine alibebwa pia? kuna watu wengine hawabebeki hata kwa reki
 
Maji hufuata mkondo,baba anapewa shahada za heshima ili awe sawa na kina slaa!!!Kapige shule sio upewe.ona sasa alipewa rz1 sasa mkewe kesho,faraja mtondogoo huyo mjukuu.wengine mbona wanasotea mwaka wa sita sasa!!!Hao wamepata shahada juzi tu hata uzoefu hawana leo mawakili!duh

Hawa jamaa wanaakili sana!!kwa kuwa walifanikiwa kujibu maswali kwa ufasaha mkubwa!!wanaosota kwa miaka sita hao ni vilaza wakubwa!!!HII NDIYO TANZANIA BANA,UNATAKA NINI MBONA UNACHIMBACHIMA SANA UMETUMWA NINI!!!
 
Back
Top Bottom