Mkewe Lowassa analia

Kilichomliza ni kauli ya Ole Sendeka na Ndesamburo ya kwamba hawa watu wafirisiwe na wanyongwe
 
Mama kama binadamu lazima amwage chozi maana hata ule mfuko wao (WAMA)na first lady hajui kama utabaki salama kwa kuwa yeye nguvu za uvutano wa mali na marupurupu,kutembelea yatima zimetoweshwa na kuyeyuka ghafla kama kufumba na kufumbua.Safari zimekoma,hata wale wasaidizi/walinzi wake nao sijui kama watawabakiza.
Oh!kweli mtu mzima kavuliwa nguo.
Nadhani sasa tusipige maiti kwa mjibu wa usemiwa Mpologomyi(MB) bungeni,hawa tayari walishakufa.Ukuu tayari walishaondolewa,na bado tunasubiri maamuzi mengine ya Rais,labda watafilisiwa pia katika akiba zao.
Nakumbuka pia usemi wa former PM wa Israel EHUDI BARAK alipokutana na Bill Clinton kwenye usuluhishi wa mgogoro wa Palestina kipindi cha Yasser Araf.Alisema hivi "We cant change the past,but we can make the future better".Tuendeleze nchi yetu sasa maana mlima umeshaanguka huo!
 
Nadhani mama hakuwa anafahamu Mzee alikuwa anampa raha zote kwa fedha za ufisadi,kilio hicho ni cha kujisikia vibaya kwamba jamii itamhusisha na yeye kama mmoja wa walio changia ufisadi wa mumewe.

nadhani alikuwa akifahamu kwani ana mtoto anaitwa Richard na wengi tunavyojua ni kwamba RICHMOND INA MAANA YA RICHARD WA Monduli
 
Nadhani Alijua Sakata Zima La Mumewe Kwa Kuwa Tunavyosikia Kwa Muda Mrefu Kuwa Ana Mtoto Anayeitwa Richard Na Richmond Maana Yake Ni Richard Wa Monduli Wakuu!mnalo?
 
Kinachomliza sio kupoteza u PM tu, anajuwa nafasi ya kuwa first lady ndio imeyoyoma!

Mama kamsalimie Esther Sumaye!
 
Lazima alie hakuwa mshauri mzuri kwa mume wake. Hata Baba wa Taifa alishaonya kuwa Lowassa hafai ni FISADI No.1 Tanzania.
 
Ni kweli inauma sana pale mpendwa wako anapochambuliwa kama karanga tena mbele ya nchi nzima (live),lakini pia kwa nini watu wakipewa madaraka wanakuwa na kiburi na ubabe na kuwanyanyasa watu waliowaweka pele??Hata wananchi wana uchungu sana wakifikiria bei za umeme,maisha kwa ujumla yako juu sana.

Kwako Fredi Lowassa wewe nakufahamu huna majivuno lakini wewe ndio uliyeshikilia biashara za familia na juzi tu umenunua lijumba la kifalme...uwe makini sana manake watu wana hasira sana.

Kwako Pamella wewe najua ndio second born wa Lowassa na Regina,na umeolewa na Sioi sumari mtoto wa Sumari ambaye alikuwa naibu waziri wa vijana kabla bunge halijavunjwa,na kikazi uko BOT,Bosi wako ni Gloria Maganga ambaye naye ni FISADI hapo BOT.
Pamella wewe unajisikia sana kama uko mbnguni na ulianza kuwadharau hata marafiki zako wa karibu eti mtoto wa PM MUNGU HADHIHAKIWA HATA SIKU MOJA......Pamella nakumbuka una wapambe wengi sana waliokuwa wanakutetemekea,Unakumbuka wale wadada unaosali nao ambao mna group ambayo eti ni ya sala kumbe ni ubishooo.Je akina ENDESH NGALESON,PRISCA TALAWA na wegineo wataendelea kukubabaikia kama ulivyokuwa unataka?????Mungu amewaonyesha kuwa duniani kila kitu kinapitaaaa.

Kwako Ada na wadogo zako baba yenu alikuwa mwizi sana hapa tanzania muachieni ashughulikiwe ili na nyie muje kukua na maadili mazuri.poleni sana ...,
 
Nakumbuka kipindi kile cha bwana Kigoma Malima ni kikwete aliyegandisha Akaunti yake na kumsababishia Pressure hadi kifo,sasa tunataka kuona katika sakata hili ukizingatia yeye ndie kashika mpini wenyewe.Isije kuwa wanatuchezea kamchezo kwani kama munafatilia kuna vijimaneno ambayo huyu Jk amekuja navyo katika kipindi hichi cha karibu kwa mfano
1.Hakuna kuchanganya biashara na siasa
2.Huu ni wakati wa kushirikiana na wapinzani
Kauli hizo zinaashiria kuwa mheshimiwa alikuwa alikuwa anajua nini kinaendelea na plan zote zipo mikononi,nyie jiulizeni kwanini Huyu JK alitinga Dodoma ghafla..na inawezekana kabisa wamekaa Chini(Si washikaji hawa jamani) wakasema sasa hapa tunafunika tukifunua tushawala kama karata tatu vle.so tuwe makini na huyu Jk na huko kujiuzulu kwa lowasasa
 
Ni kweli inauma sana pale mpendwa wako anapochambuliwa kama karanga tena mbele ya nchi nzima (live),lakini pia kwa nini watu wakipewa madaraka wanakuwa na kiburi na ubabe na kuwanyanyasa watu waliowaweka pele??Hata wananchi wana uchungu sana wakifikiria bei za umeme,maisha kwa ujumla yako juu sana.

Kwako Fredi Lowassa wewe nakufahamu huna majivuno lakini wewe ndio uliyeshikilia biashara za familia na juzi tu umenunua lijumba la kifalme...uwe makini sana manake watu wana hasira sana.

Kwako Pamella wewe najua ndio second born wa Lowassa na Regina,na umeolewa na Sioi sumari mtoto wa Sumari ambaye alikuwa naibu waziri wa vijana kabla bunge halijavunjwa,na kikazi uko BOT,Bosi wako ni Gloria Maganga ambaye naye ni FISADI hapo BOT.
Pamella wewe unajisikia sana kama uko mbnguni na ulianza kuwadharau hata marafiki zako wa karibu eti mtoto wa PM MUNGU HADHIHAKIWA HATA SIKU MOJA......Pamella nakumbuka una wapambe wengi sana waliokuwa wanakutetemekea,Unakumbuka wale wadada unaosali nao ambao mna group ambayo eti ni ya sala kumbe ni ubishooo.Je akina ENDESH NGALESON,PRISCA TALAWA na wegineo wataendelea kukubabaikia kama ulivyokuwa unataka?????Mungu amewaonyesha kuwa duniani kila kitu kinapitaaaa.

Kwako Ada na wadogo zako baba yenu alikuwa mwizi sana hapa tanzania muachieni ashughulikiwe ili na nyie muje kukua na maadili mazuri.poleni sana ...,

ndugu asante kwa kujaribu ichaMBU AVYEMA FAMILIA YAKE lakini from wat i can see u were tryin hasa hasa kumwongelea huyo pamela it seems unamachungu naye kwa muda mrefu now washerehekea toka juzi ripoti ilipotoka ya richmond..ila sio mbaya maadam ni mafisadi woote tusherehekee na kuhope tz yetu itasonga mbele kimaendeleo now
 
Mweee??? Mchozi asiumwage kwanini? Akifikiria Segerea inamkonyeza mzee, huenda alikua keshaandaa kiwalo cha ujio wa Joji Kichaka, vitiripu vya nje navyo vimesitishwa ghafla.....

Na mbadooo,mmekula sana kushiba hamshibi, zamu yenu kuishia kunawa sasa........
Chozi la munyonge malipo kwa mungu babaa......
Wamekura ya Mbuzi, wameota mapembe!!!!
 
Tehe, tehe, koooooh!! Karibu kwenye ulimwengu wa "KASUNGURA" mama kama tulivyo wengi, zamu yako ya kula ng'ombe imesitishwa ghafla!!
 
Huyo mama alikua anajua kila kitu na kuhusika na mtoto wake pia, hamna lolote hapo. wote hao warudishe hela za watanzania
 
Mwenzenu analilia nchi, mnakuwa wagumu kuelewa, wepesi kusahau. Cry my beloved country.
 
Hilo muhimu. Kujiuzulu ni wajibu na siyo hukumu wala faini. Hata kwa ugonjwa wangejiuzulu tu. Kikubwa walichojilimbikizia kifisadi ni mali halali ya taifa na virejeshwe mara. Hatuwaombi bali tunatekeleza na siyo mara ya kwanza hii. Majumba ya msajili tulipataje? Wembe uleule. Kama JK alivyosema tunataka tusikie nini kimekamatwa wapi na akaunti ngapi zimezuiliwa na zikiwa na ngapi. Wenye machozi ya mamba waachieni manake hata wengine wakifurahi sana hulia pia. Hawa watu mioyo yao hatuna uhakika nayo hivyo msihadaike na machozi pengine ya kejeli tu hayo.
Kisingov
 
Bring the whole song, I am dancing here kwi,kwi,kwiiiii
Mweee??? Mchozi asiumwage kwanini? Akifikiria Segerea inamkonyeza mzee, huenda alikua keshaandaa kiwalo cha ujio wa Joji Kichaka, vitiripu vya nje navyo vimesitishwa ghafla.....

Na mbadooo,mmekula sana kushiba hamshibi, zamu yenu kuishia kunawa sasa........
Chozi la munyonge malipo kwa mungu babaa......
Wamekura ya Mbuzi, wameota mapembe!!!!
 
huyu ndo actress na mumewe ndo actor mwenyewe...yaani ndo mr n mrs smith kama unawajua brad pitt na angelina jolie...kwanza mumewe amejiuzulu ili wasiendelee kuchimba zaidi kwani jamaa ana mambo ya kifisadi kibao...
 
Kinachomliza hiki hapa....
 
Attachments

  • First Lady.jpg
    First Lady.jpg
    11.2 KB · Views: 443
Back
Top Bottom