Mkesha Mkubwa Mwaka huu vipi?

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
Kila mwaka huwa kuna Mkesha mkubwa wa Maombi kuukaribisha Mwaka mpya pale uwanja wa Uhuru Dar.
Kwa wanaojua watuhabarishe mipango ya mwaka huu maana kuna tetesi kuwa unaweza kufanyika kwenye mkesha wa siku ya Uhuru badala ya tarehe 31 december kama ilivyo kawaida. Hii ni kweli au?
 
na al shabab je? au wataruhusu maana walipo zuia ilikuwa ni sababu kwa maslahi yao
 
Back
Top Bottom