Mkeo na Mama yako mzazi.

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Wana Jamii naomba kuuliza swali.
Je wanaume wako tayari kuvumilia ukimtukania mama yake mzazi kuliko ukimtukania mkewe?
 
Kuna hili tusi la deshideshi ya mama yako, nadhani kila mtu kisha wahi kutukanwa, haliumi hata kidogo.
Lakini ukienda mbali nitaifyeka shingo yako kwa kosa la kumtukana mama yangu.
Mke wangu umtukane tu, nitakoroma kwa ajili ya upendo na kuonyesha kujali.
 
Kweli we watofauti

Mama/Baba kitu kitu kingine bwana!!
Mume waweza mtukana!!
OR
Kutukaniwa mama inaumza zaidi kuliko mke.
:plane::plane:
 
Matusi ni matusi tu, hayavumiliki kwa yeyote! Pia ulitaka kumaanisha nini kuanzisha hii thread Mkuu?
 
Tusi ni tusi tu haijalishi katukanwa nani kwangu mm matusi yooote ni upotofu wa maadili,na inabidi ikemewe kabisa,watu hawa wote hawawezi kutukanywa kwa wakati mmoja,so kila mmoja ntamtetea kadri ya uwezo wangu!
 
Mijitu mingine sijui ikoje, unakurupuka huko utokako unaenda kuanza kuwashambulia wenzako na mitusi.
Haipendezi na wala sio uungwana hata kidogo.
 
Back
Top Bottom