Mkeo anakupokea na khanga na usemi wa "asenane man six kangamoko ndembe ndembe"" unamfanyaje??

Ntaanza na kumpeleka chumbani tujadili hasa juu ya kilichokuwa kimefichwa ndani ya kanga na mjadala huo utakuwa unaendelea huku tukiwa mafichoni fulusuti!
 
Back
Top Bottom