Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
hehehe!Kuna hoja hujajibu kule....
HOJA GANI?
hehehe!Kuna hoja hujajibu kule....
Sasa mbona kichwa cha habari na maelezo yanatofautiana? Au ni macho yangu mimi?( Maana leo nimekosea nikaalngalia kupatwa kwa jua with my naked eyes).
Yeah.....kidogo mtoa mada kashindwa ku-linkisha title na body......!
Anyway.....kwa ufupi zaidi ni kiaangali yale aliyoyasema kny body:
Hayo yote uliyoyasema hapo juu ni MSHAHARA wa mwanamke na compensation ya machungu anayoyapata toka kwa mume wake na familia yake kwa ujumla - Ref. kamba ya cousin Chrispin......Heshima kwa wanawake!
Dah, mkuu NL hapa tupo ukurasa mmoja kabisa! kumbe na wewe umeiona eeh? hahahahaaa
Hapo umenena hata mimi nimekuunga mkono na miguu. Lakini sio eti unaomba pesa ya saloon, unaambiwa hana. Then unamuona yeye nikutesa na mibia everyweekend na jamaa zake ili hali hata huo mashahara huujui. Nina swali pia kwenye hili. Umekuta mume anakuficha matumizi ya hela yake, ukimuomba pesa anasema hana zote zimeishia kwenye bills. Then cku na cku ukafanikiwa kupata kazi na ww. wembe ukawa ni uleule humuonyeshi pesa zako na akiziulizia kwenye majukumu ya ndani, unamwambi na yy zimeishia saloon, wazazi wagonjwa, lipstick etc(kwenye mahitaji yako) maana ni chache huwezi kumudu majukumu ya ndani. Je ni sawa hapo!salari ni SIRI!
SIRI YA JESHI
akijua tu,hizo bia utazisikia bombani
cha muhimu apate kila anachokihitaji..........
salari hapana
Sina uhakika kama hili lilishajadiliwa hapa? Ila ningependa kupata maoni ya wadau hapa JF. Niekuwa nikijiuliza mara kwa mara, Mwanamke anawezakuwa anapata Shs. Mil 5 kwa mwezi, Mwanaume Shs. Mil 2, Lakini bado kila kitu utasikia, Baba nanilii, unga umeisha, mchele hakuna, Luku imeisha. Watoto wakitaka school fees ama madaftari, utasikia mwambie babayako. Mama yeye ni Salon ama kujenga kwao na samtymz bila kukwambia!
Hii imekaaje jamani akina Chrispin, Geoff, bht, Bujibuji, carmel, FirstLady 1 , George_Porjie, JS, klorokwini, Lily Flower, MwanajamiiOne, Ngongo, Nguli, Preta, pretty.[/FONT]html"]Pretty, Prodigal Son, Shishi, SMU, Soulbrother, Sumbalawinyo na wadu wengine humu JF.
Michango yenu ni muhimu sana!!!!!!!!
mwanaume ndiye kichwa cha familia,
HUPASWI KUULIZA MSHAHARA WA MKEO
Kutokana na ugumu wa maisha ni vizuri kujua mshahara wa mwenzako ili mpange vizuri vitu vya kufanya!!
jamani inategemeana, wale wanawake wa enzi za mwalimu, inawezekana, hawa wa ari mpya na kasi mpa, akijua unaibuka na sh ngpi, umekwisha!!!!!!!!
migogoro haiishi,
mshiko ukiwa mkubwa atatka ukajenge kwao kwanza ndio umalizie kabanda kenu, ukibisha, inakuwa ishu, hata haki uliyolipia mahari hupati!!!!!!!!!
kasalari kakaiwa kadogo, basi hesabu umeumia, hata yale maji ulokuwa ukipelekewa bafuni, yanapotea, makamuzi ni mpaka mkomvisi kama unamtongoza upya na aridhie!!!!!!!!!
mkitoka droo, maumivu matupu, ubishi humo ndani, kwa shikh yahaya pana nafuu!
ni kweli unachokisema lkn pia kama mnashare mshahara mnafika mbali klk kufichana ingawaje wanawake wanahofia kulizwa baadae kuletewa mke wa pili au nyumba ndogomwanaume ndiye kichwa cha familia,
HUPASWI KUULIZA MSHAHARA WA MKEO
WALA HUPASWI KUMPA MAJUKUMU YA KUHUDUMIA FAMILIA..........