Mke wangu kipenzi changu Sweetylady uko wapi mama?

Dah kijana pole...nilipata salamu zako toka kwa Kabakabana....hope iko poa...karibu tena....
 
Mkuu shukrani kwa ukaribisho halafu huyu Kabakabani mdingi kanipigia simu anadai hajalala nyumbani
 
Teh atakuwa ameji-export kwa Rejao...hebu mtafute Rejao umuulize...ikimkosa huku nenda jukwaa la mapokezi utamkuta
 
Nitts,unakumbuka story za bukoba 1979 baada ya vita ya idd amin?Kule kwa dada zetu kashai,misoja wakati inavamia mavituuz kwa pupa huku imevaa buti? Ukikutana na SL usifanye hivo bana pamoja na kuwa ndo unatoka segerea!
 
Kwa SL buti sivai Mungu mwenyewe ndiye anaejua, kwanza buti halina mzuka hata kidogo
 
ngoja nimtonye baba canta a.k.a mtambuzi.

Dah!bishanga mbona ivo!ww unajua kbs mdingi wangu mnoko na mie kwa rejao ndio nimefika,plz naomba sapoti yako ucmwambie mdingi angalau mpaka tukishafunga ndoa,plz......!
 
Naona Bishanga, nitonye, Erick52 wanataka kutuletea uzibe!
Inabidi tuwape kamati nyeti za maandilizi ili tuwakate ulimi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom