Mke wangu kipenzi changu Sweetylady uko wapi mama?

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Namshukuru Mungu kuona niko tayari uraiani, namtafuta my wife wangu jamani aliyemuona amwambie tayari Nitty karudi uraiani. Kaka angu Bishanga uko wapi, kongosho, my lovely sister Kabakabana i miss u, jamani niliwamiss
 
Welcome back mkuu. Am glad to have you back
 
Haya mambo yakufunguliwa usiku utadhani nimetoroka sio mazuri ona sasa my wife keshalala zamani

Usiwaze sana mkuu.Twende home tukalale halafu kesho ukiamka utaoga na kuvaa vizuri halafu ndio uende kwa mkeo maana akikuona hivi jinsi ulivyo anaweza akalia, si unajua tena jinsi shem anavyokuzimia utdhani umemroga bwana
 
Karibu sana veve bana kubwa. Your wife wako iko zaa na mimi toto moja, na imeshaachana na mimi.. Lakin mara ya mwisho alionekana na Mtakatifu iv**g*
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom