Mke wangu karudi akiwa amevaa chupi ya kiume!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
"Amerudi saa 2.30 usiku kutoka kwenye mazoezi ya kwaya, wakati
anabadili nguo ndipo nilipomuona akiwa na nguo hiyo ya ndani ambayo
ilikuwa na maandishi kwenye ufito, TMK WANAUME FAMILY. Nilipomuuliza
kwanza alishtuka........ kisha akaniambia ameinunua mwenyewe. Nikamuuliza
kwanini chupi ya kiume, akajibu hakuna chupi ya kiume ila kuna chupi za
kike, hata ingekuwa hivyo mke wangu si mpenzi wa nguo za maandishi ya
ajabu na hiyo chupi sijawahi kumuona nayo hata siku moja! na si MPYA inaonekana
imetumika kwani kuna sehemu ina tobo lakini mke wangu kang'ang'ania
hakuna chupi za wanaume peke yao lakini zipo za wanawake peke yao
Kweli inanitia mashaka."

Ni mkasa uliomkuta Fundi ujenzi ambaye ananijengea banda langu la kuku hapa majohe.
Mwisho wa yote aliniomba ushauri juu ya nini cha kufanya.
 
huu mkasa ni wako wewe mwenyewe mzeee, umeliwa mke tena na masharobaro wa bongo fuleva au wavuta bange. mtimizie mkeo haki ya ndoa ili atulie home, aache kuparamia wavuta bange, wasukuma tolori na walisha ng'ombe. pole.
 
jibu analo.kama yeye ni fundi wa banda......basi kuna fundi wa kidude!!!!!hahhaaaaaahhhahahahhaaahhhhaaaaaawote mafundi.....
 
"Amerudi saa 2.30 usiku kutoka kwenye mazoezi ya kwaya, wakati
anabadili nguo ndipo nilipomuona akiwa na nguo hiyo ya ndani ambayo
ilikuwa na maandishi kwenye ufito, TMK WANAUME FAMILY. Nilipomuuliza
kwanza alishtuka........ kisha akaniambia ameinunua mwenyewe. Nikamuuliza
kwanini chupi ya kiume, akajibu hakuna chupi ya kiume ila kuna chupi za
kike, hata ingekuwa hivyo mke wangu si mpenzi wa nguo za maandishi ya
ajabu na hiyo chupi sijawahi kumuona nayo hata siku moja! na si MPYA inaonekana
imetumika kwani kuna sehemu ina tobo lakini mke wangu kang'ang'ania
hakuna chupi za wanaume peke yao lakini zipo za wanawake peke yao
Kweli inanitia mashaka."

Ni mkasa uliomkuta Fundi ujenzi ambaye ananijengea banda langu la kuku hapa majohe.
Mwisho wa yote aliniomba ushauri juu ya nini cha kufanya.

Chunguz kwa makini bado ni mapema sana kubaini ukweli. Hicho ulichoona iwe ni clue or ushahidi
 
Keshamegwa uyo!
Hesabu maumivu!
Apo nenda kwa karumanzila tuu kuconfirm uyo mkola anayembandua otherwise forgive and forget
 
Kila m2 aliyeko kwenye mahusiano anajua upungufu au uimara wa mahusiano yake, lakini nilichogundua katika maelezo ya msimuliaji(km hajachakachua) huyo fundi anaelekea hana sauti kwa mkewe. Km siyo komedy basi ilitakiwa huyo mwanaume awe mkali mpaka apate ukweli.

Hainiingii akilini eti mkeo/mumeo arudi na chupi ya kiume/kike ambayo hujawahi kuiona katika mazingira yenu halafu unaenda kuomba msaada ufanyeje au NDO DEMOKRASIA YA MAPENZI?, km ndivyo basi aendelee kushirikiana na kwaya mastea au whoever.
 
"Amerudi saa 2.30 usiku kutoka kwenye mazoezi ya kwaya, wakati
anabadili nguo ndipo nilipomuona akiwa na nguo hiyo ya ndani ambayo
ilikuwa na maandishi kwenye ufito, TMK WANAUME FAMILY. Nilipomuuliza
kwanza alishtuka........ kisha akaniambia ameinunua mwenyewe. Nikamuuliza
kwanini chupi ya kiume, akajibu hakuna chupi ya kiume ila kuna chupi za
kike, hata ingekuwa hivyo mke wangu si mpenzi wa nguo za maandishi ya
ajabu na hiyo chupi sijawahi kumuona nayo hata siku moja! na si MPYA inaonekana
imetumika kwani kuna sehemu ina tobo lakini mke wangu kang'ang'ania
hakuna chupi za wanaume peke yao lakini zipo za wanawake peke yao
Kweli inanitia mashaka."

Ni mkasa uliomkuta Fundi ujenzi ambaye ananijengea banda langu la kuku hapa majohe.
Mwisho wa yote aliniomba ushauri juu ya nini cha kufanya.

Mkasa huo ni wako kaka, usimasingizie fundi. Amekwishaliwa huyo. mlipokuwa mnafunga ndoa ulikula kiopo, mtavumiliana kwa kila jambo, zuri/baya, na hilo ni mojawapo. Vumilia tu kaka.
 
kaka mkeo ni mwaminifu tu sema alikua anataka kukupima sasa na wewe dawa nenda kanunue chupi ya kike bila yeye kujua njoo umeivaa na iwe chafu chafu kiaina then unamvulia mbele yake akikuuliza na wew unashtuka dawa yamoto kuni
 
ha wakikumegea nawe tafuta mnyonge wako hahhahah......nimeipenda hii
 
jamani chupi za kiume ni quality.haziishi haraka kama za kike.labda ameona bora anunue chupi za kiume.
 
vitu vingine haviitaji ushauri kwa kweli, ndo mana mimi huwa natembea na taraka zangu 3 mfukoni akizingua tu nampiga nazo...
 
wanaume wamezidi kuzitimizia nyumba ndogo while nyumba kubwa hazitimiziwi,sasa nyumba kubwa ikitafuta nyumba ndogo ndo unashi2ka.kama umeshindwa kumkontroo mwache2.
 
Back
Top Bottom