Mke wangu hatoi penzi, ananipangia ratiba kwa wiki mara 2

The_Analyst

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
218
52
Habari wadau,

Mimi nna mke na mtoto mmoja tupo kwenye ndoa kwa takribani miaka mitatu. Kabla ya ndoa alikua anatoa penzi vizuri tu wakati wowote. Lakini baada ya ndoa amekua anapanga ratiba mara moja kwa wiki sometimes 2 weeks.

Naombeni msaada wenu katika hili. Hivi mpenzi wako anapo kataa kushiriki na wewe mapenzi unafanyaje?

Asanteni.
 
Mkuu inawezekana mechi zako unacheza chini ya kiwango ndo mana wife ana mzuka kabisa wa kufanya..Nwei jaribu kuongea nae akueleze nn shida..
 
jichunguzi unafanya yale ulikuwa unafanya wakati mnafurahia penzi........usijekuta unamchafua mwenzako mwisho anaona hana haja nawe
 
Hivi umeoa ua umeolewa ?

Wewe mwambie kwa wiki unataka mara kadhaa kama yeye anakupa mara mbili hizo zinazobaki mwambie utatafuta mahali pa kuzipatia....!!

Kumbuka anajua huwezi kukosa idadi ya zilizobaki
 
Ndiyo maana siyo kila king'aacho ni dhahabu...na siyo kila mwenye mke siyo mvulana!

Hawa wavulana wetu wanahitaji msaada.

Tumshauri nini mtu anayeenda kutafuta ushuri mtaa wa Kongo badala ya kuongea na huyo anayemnyima mali yake mwenyewe?
 
Mwanamke usimwambia kwamba unataka papuchi...wew mpet pet vizuri mshike maeneo utaona anaanza kukwambia "baby chup imenibana sana itoe.." ha ha ha


Hii ni theory au ndiyo maprakitiko yenyewe hayo?
 
Back
Top Bottom