Mke wangu hataki kufanya tendo la ndoa

hizo ndo effect za dawa za kichina mnazotumia kuongeza dude!!!!!!!!!!

Mwenzako kaeleza hicho kiungo alicho nacho ni kwa majaliwa ya Muumbaji wake, wewe wampakazia kuwa katumia dawa za Kicina!!

Pili naona kama maungo yangu yanamzidi uwezo yaani nimekuwa nikifanya kwa utaratibu bila kufanya stailli mbalimbali ili nisimuumize lakini inavyoonekana ni kwamba anapata maumivu sana nikimuuliza huwa anaogopa kusema lakini pia amekuwa akitokwa na damu mwakati wa tendo la ndoa, hivyo naona kuwa labda pngine ni kutokana na kiungo kikubwa Mungu alichonijaalia.

Sasa jamani nifanyeje na mimi bado nampenda mke wangu na ninahitaji kula tunda?

Kaka Kitalolo, cha muhimu muonyeshe mapenzi ya dhati mkeo, akujue na umjue ili muwe mwafanya romance (mnyegesho) kwa uhuru mpaka wote mnatoshea, na baada ya hapo ukimwingilia mkeo hatasikia maumivu wala kutoka damu. Ila hali hiyo licha ya kutumia utaalamu huu ikiendelea, nenda kamuone daktari usije endelea muumiza mdogo wangu.
 
ndio maoni uliyoweza kunipa? sasa huwa naweza kufanya naye romance muda mrefu sana na huwa anatokwa na maji mengi na huwa napaka mate mbinu zote hizo nimejaribu na sasa natumia K-Y jelly ili niweze kumsaidia mwenzangu asiumia lakini yote hiyo haijasaidi .

nimejaribu pia kumwandaa kisaikolojia yaani mapema sana pengine tuiwa kazini mchana namtumia hata sms za mapenzi na kumwambia kuwa nina hamu naye ili tukikutana awe amekwishaiandaa akili yake lakini naona yote hii haijasaidi. ni mwanamke mzuri na niliifungua mwenyewe kwenye makaratasi mzee nim ewahi kuwa na wanawake wengi huyu si wa kwanza kwangu hivyo maandalizi nafikiri kwangu sio tatizo kubwa kwana wanawake wengi niliokutana nao wamekuwa wakisifia na limekuwa likiwaliza wengi na wawili kati yao ilibidi wapate msaada wa kidaktari kwamba kizazi kimepata msukosuko na kisa cha kuachana mwanamkee mmoja wao ilikuwa hi hicho alisema hataweza kuihili ingawa ananipenda sana mpaka sasa huwa tunasalimiana vizuri na hatuna shida ila yeye alisema amesalimu amri nisijemuua bure kwani hakuna mwanammke aliyewahi kunipa zaidi ya cha pili

maana chakwanza huwa ni chakawaidi sana ila tatizo linakuja cha pili kukipata inaweza kuchukua kama nusu saa hivi au zaidi na nikifanikiwa kukoja basi uume kulala inakuwa kazi kwelikweli ila kukipata cha pili ni mara chache kwani wanawake wengi wamekuwa wakiomba niishie hapo kwani wao huwa hawawezi ,

ni mmoja tu kati ya wanawake wote niliowahi kuwa nao ndio niliachana naye lakini kwasasa huwa ananipigia simu ananiambia alichokikuta kwa bwana wake hakimtoshi hivyo anahitaji niwe nampa mara mojam oja ila nimekamatalia maana nilikua kiapoa na mke wangu na sitaki kumsaliti umekwishhaona mimi nimetuma post hapa jamii forus tangu nimejuina na nina muda mrefu sana hapa ili kwa hii nimeonelea nijaribu kuomba ushauri kwa wazee pengine kuna aatakayeweza kunisaidia.

asanten

Nina uhakika ungeanza na post hii hakuna mtu angekujibu. Kumbe mpuuzi tu unajisifu uongo tu hapa, huna lolote. Story ya kutunga halafu. Hebu tuondokee hapa.
 
kwa kichagha tunasema aika mae nitafwata ushauri wako na kushauriana na mwenzangu kumwona daktari ingawa yeye hapendi sana tutafute ushauri nje ni mtu mwenye aibu sana nikisema sana namaanisha sana yaani huwa hawezi kenda hata dukani akanunu chupi yake mwenyewe wala ile taulo ya usafi kwa kina mama yeye kwakufanya hivyo anaona kama wamemchungulia sasa sijui kwahi kama atapenda tuwashirikishe madaktari ila nitaongea naye na kujaribu kumshauri kwafaida yetu

hahahaha jamani huyo wa kwako kazidi aibu gani hiyo
hakufundwa jinsi ya kuishi na mmewe basi ndo maana unamuumiza kumbe hajajitambua >>kwa hiyo hapo wewe ndo unakazi ya kwenda dukani kumfanyia shopping??

{ mwambie mmeo ni rafiki yako hutakiwi kumuogopa} usione soo sema nae
 
Kama inamchukua muda kutoa majimaji yake paka mate mzee! Ngoma inateleza kama maji ya sabuni! Wala damu haitamtoka maana inatanuka na utelezi! Jaribu hii! Isipoleta mafanikio ni PM nikupe mbinu ya pili
...Mate tena? Angalau hata vaseline basi au Ky mkuu!!!!
 
Mtu B kumbe umemuona huyu sijui nani jina limenishinda

Nimeistukia mapema hadithi yake ya kutunga na majisifu kibao! Ati mkewe ana aibu hadi anaogopa kwenda kununua pedi, si uongo huo? Ina maana kabla hajamuoa huyo dada alikuwa hatumii pedi, au alikuwa anatumia nini kuogopa aibu? Mwongo tu!
 
Kama inamchukua muda kutoa majimaji yake paka mate mzee! Ngoma inateleza kama maji ya sabuni! Wala damu haitamtoka maana inatanuka na utelezi! Jaribu hii! Isipoleta mafanikio ni PM nikupe mbinu ya pili
...Mate tena?? Angalau hata vaseline au Ky mazee!!
 
Hahahahahahahahaha! ebwana eeeeeeeeeeee!
Nampa pole sana huyo wife wako
ila jaribu kumuandaa kwa muda mrefu sana halafu utaona matokeo
na mwambie aondoe uwoga kwako , hilo nalo ndilo linafanya akili yake isi relax na kujua kuwa yuko kwenye tendo la ndoa.
 
Nimeistukia mapema hadithi yake ya kutunga na majisifu kibao! Ati mkewe ana aibu hadi anaogopa kwenda kununua pedi, si uongo huo? Ina maana kabla hajamuoa huyo dada alikuwa hatumii pedi, au alikuwa anatumia nini kuogopa aibu? Mwongo tu!

hakujua kama hapa JF kuna vichwa vya watu vimesheheni hekima za ajabu
 
wanajamii naombeni ushauri kwanza najua kabisa kwamba mke wangu sio mpenzi wa tendo la ndoa kama mimi.

Mara nyingi nimekuwa mimi ndio mwanzilishi wa kuomba kwamba nahitaji au vinginevyo imefikia mahali naona kama namlazimisha na anafanya kama vile ni laizima.

pili naona kama maungo yangu yanamzidi uwezo yaani nimekuwa nikifanya kwa utaratibu bila kufanya stailli mbalimbali ili nisimuumize lakini inavyoonekana ni kwamba anapata maumivu sana nikimuuliza huwa anaogopa kusema lakini pia amekuwa akitokwa na damu mwakati wa tendo la ndoa, hivyo naona kuwa labda pngine ni kutokana na kiungo kikubwa mungu alichonijaalia.

Sasa jamani nifanyeje na mimi bado nampenda mke wangu na ninahitaji kula tunda?

acha kujifaragua wewe, alaa.
 
Mh! namm nimeanza kushtukia! huu ni urongo sasa, kama ushauri wa kwenda kwa dr. unsasema hataafiki (mashaka) kumuandaa unamuandaa. kati ya ushauri woooooote wa wadau hm ndani hakuna hata mmoja ulioahidi kuufanyia kazi kwa kuona haukuffai! unataka tukuambieje, au lengo ni kuanzisha mjadala tuuuu usio maana!!!! Jaribu hv...
1. Nenda kwa Dr. kama haiwezekani kwenda....
2. Labda hujui kufanya mapenzi unajua ngono tu (jifunze) kama haiwezekani....
3. Inawezekana unataka kumla TIGO Mkeo! kama si kweli....
4. Acha kumfanya mkeo, PIGA PUNYETO, Kama haiwezekani.....
5. Labda una mpango wa kuachana naye, OA PUNDA.

TENA INAWEZEKANA HAUNA MKE! AU HAKUPENDI, UNALETA MACHEJO TUUUU!
 
Nimeistukia mapema hadithi yake ya kutunga na majisifu kibao! Ati mkewe ana aibu hadi anaogopa kwenda kununua pedi, si uongo huo? Ina maana kabla hajamuoa huyo dada alikuwa hatumii pedi, au alikuwa anatumia nini kuogopa aibu? Mwongo tu!

hahahaha.... yawezekana alikuwa anatumia mashuka na kanga za zamani zilizokwisha anachana halafu anajistiri!.....

yawezekana huyo mwanamke ni wa zama za ujima kule kule wanapojua JK original bado yuko hai na ndie rais wetu.... dunia hii ya sasa mwanamke wakumwonea aibu mumewe ama mwanaume wake hata kama alimtowa huo uzi yeye bado haijaingia akilini hizi ni aibu gani!!
 
kuna mwisho wa urefu na upana wa midude kama ilivyo mwisho wa kutanuka kwa K***m. Kama yako imezidi ordinary saizi kama nyoka vile na pana kama rungu la Afande nanih then una kilema na huwezi kupanda. Otherwise k**ma zote ni kubwa vya kutosha kuingia dude lolole lisilo na kilema.
 
Kama hataki kwenda kwa dakitari huyo analake jambo... na kama kweli unayo yasema basi huyo mwanamke ni mgonjwa huenda akawa ana kansa kwenye mdomo wa uzazi na ndio maana huwa anatokwa damu mara kwa mara kwa sababu ya msuguano wa hilo ulilobarikiwa na ya kwakwe unavyogusa mlango wa kuta za uke wake ama ukubali kuwa hujui kumwandaa mkeo kwenye hilo game uwatafute wanaume wenzio wakupe bedparty kama sio kitchen party
 
pole, sema kwakuwa ni mke ila nilitaka kukushauri umlete nijaribu kuwa nae japo wiki kuona kama tatizo ni lake au lako, mi sina dude kubwa kiiiichiiina!
 
Mh! namm nimeanza kushtukia! huu ni urongo sasa, kama ushauri wa kwenda kwa dr. unsasema hataafiki (mashaka) kumuandaa unamuandaa. kati ya ushauri woooooote wa wadau hm ndani hakuna hata mmoja ulioahidi kuufanyia kazi kwa kuona haukuffai! unataka tukuambieje, au lengo ni kuanzisha mjadala tuuuu usio maana!!!! Jaribu hv...
1. Nenda kwa Dr. kama haiwezekani kwenda....
2. Labda hujui kufanya mapenzi unajua ngono tu (jifunze) kama haiwezekani....
3. Inawezekana unataka kumla TIGO Mkeo! kama si kweli....
4. Acha kumfanya mkeo, PIGA PUNYETO, Kama haiwezekani.....
5. Labda una mpango wa kuachana naye, OA PUNDA.

TENA INAWEZEKANA HAUNA MKE! AU HAKUPENDI, UNALETA MACHEJO TUUUU!

Mkuu hapo nilipo-bold nimepakubali zaidi....Bwana Kitalolo umeona ushauri wa bure huo!!!
 
Anatuzuga huyu, inamaana kabla hajamuoa alikuwa hajafanya testing? Ile kitu ni elastic bana hamna cha ndude kubwa wala nini. Mtoto anapita seze hicho?

senkyu bro Chris for this useful post, bai the wei na kule kwenye katufe nimeshakubonyezea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom