Mke wangu hariziki

muulize huyu nyani ..katumia technique gani huyo bibie kapagawa ivo
419703_265976466814250_290061510_n.jpg
T

Afu mwambie kabisa kazi ya Jeshi ni KUGANGAMALA! Chezeya?

PIX1.jpg
 
mke wangu hariziki na mapenzi nimemuoa tu jusijusi.hapendi hata kunipikia ni mlalamikaji sana.nimechoka

Kuridhika kupi kaka unakokuzungumzia? Kwenye maisha yenu ya kawaida au kunako zoezi la ukubwani? Tuweke wazi tukushauri vrz.
 
hivi siku hizi watu wanabebana tu bila hata ku-take time kuwafahamu hao wenzi wao angalau kidogo? inakuwaje mtu kaoa 'jusi jusi' halafu in a couple of weeks malalamiko yanaanza? very mind-boggling kiukweli
 
sijalogwa bana...unaona mababy wa nyani wanavoenjoy? sio nyie wa kwetu kila siku makelele humu jf... we need action loh!

Smile ushirikiano kwenye zoezi unahusika sana, si umeona lakini huyo baby wa nyani alivyotoa ushirikiano? Hakiyanani ni lazima huyo nyani ajitume lohhh! Si nyie kila siku malawama tu na matamaaa!!!
 
Smile ushirikiano kwenye zoezi unahusika sana, si umeona lakini huyo baby wa nyani alivyotoa ushirikiano? Hakiyanani ni lazima huyo nyani ajitume lohhh! Si nyie kila siku malawama tu na matamaaa!!!
loh katoa ushirikiano gani hapo ..wakati anaonekana hata hayupo duniani kiroho hapo ebu mcheki vizuri full kurelax
 
loh katoa ushirikiano gani hapo ..wakati anaonekana hata hayupo duniani kiroho hapo ebu mcheki vizuri full kurelax

Nafikiri hujaona vzr jinsi alivojilegeza na hiyo mikono yake alivyomshika jamaa kwa ulaini ....
You should know how to position yourself, na kuprovide "support" wakati wa zoezi, loh!!!
 
Yawezekana kabla ya wewe kuna njemba iliyokuwa inamkoleza vizuri zaidi yako! Komaa naye, ongeza mautundu mwanangu!! Smile ameniacha hoii!!! Loh,
 
Nafikiri hujaona vzr jinsi alivojilegeza na hiyo mikono yake alivyomshika jamaa kwa ulaini ....
You should know how to position yourself, na kuprovide "support" wakati wa zoezi, loh!!!
and the baby boy know where to shoot loh!
 
Back
Top Bottom