Mke wangu hariziki

muulize huyu nyani ..katumia technique gani huyo bibie kapagawa ivo
419703_265976466814250_290061510_n.jpg
 
Kama haridhiki ina maana unayofanya hayana swagga tafuta kumridhisa inawezekana tatizo ni wewe
 
kwanini tu hebu kua mtumzima yaani uoe juzi juzi tu halafu leo umemchoka mkeo? this can not be bana ngoja nikwambie labda bibie ana kijusi na kimeshaanza kumtibua mood wise. uwe makini msije mkaishia kukiharibu nenda naye taratibu.
 
Last edited by a moderator:
Mkeo haridhiki katika mlengo upi?
1. Hafiki mshindo?
2. Anafika mshindo lakini anataka mara kwa mara?
3. Haridhiki na jinsi unavyompenda?
 
Wanawake wasipo ridhika wabaya sana, ni muda mfupi tu kabla hajaanza kutoka nje.
 
Acha hizo weweee,ulipokuwa unaoa hukuambiwa kama mnatakiwa mvumiliane kwenye shida na raha na kifo ndio kita watanganisheni!pia ule umati uliokuja pale harusini ulifikiri umekuja pale kunywa pombe au kushuhudia jinsi unavyoji-commit kuwa umempata mwenza wa kufa na kuzikana,nyie ndio mnaotufanya sometimes tunakuwa wazito kuchangia harusi,tunatoa hela kibao matokeo yake ndio hayo ya kuishi siku mbili halafu mnaachana.
 
Fanya njia yeyote aridhike lasivyo atatoka nje!

Pole sana
 
Mkuu, hakuna mwanamke anayeridhika Duniani, na hakuna mwanaume anayeweza kumridhisha mwanamke duniani kote. Komaa naye tu, mtafika.
 
Kama haridhiki maana yake hujaplay part yako vema. Hakikisha unamridhisha, usichoke. Ndo ndoa hiyo.
 
Back
Top Bottom