Mke wangu atanilaumu Kweli?

Acha tamaaa. Mpotezeee ikiwezekana mnunulie vya kwake.

Swali dogo, Hivi ikitokea ukatembea nae halafu akashika mimba utakaa wp?
 
hajapata boom la kawambwa nini? Kama vp nunua make up zingine mpe mkeo na hizo amwachie mdogo wake! Lakn inaonekana pia mshipa wa dhambi umeshakusimama inawezekana ukaja na kisingizio kingine kuwa kapaka make up kapendeza na anakurembulia lol! Fikir na chukua hatua
 
Tuwe wakweli jamani, majaribu ya mashemeji ni tatizo aiseeee!!!! Unakaa na shemeji amejaaliwa kwa kila kitu though na mkeo amejaaliwa lakini kwa sisi tuliooa wafanyakazi kila siku wanakwenda field!!! Uuuh!!! Analala huko siku tatu siku nne ndo anarudi na mara nyingine wiki nzima ye yuko field home umebaki na shemeji, unaamka asubuhi ujiandae kwenda kazin baridi inapuliza unamkuta shemejiyo kavaa kikanga kimoja anafanya usafi!!! Unamkaripia akavae anakuchekea eti anakujibu `jamaaan shem hivi ndo nakuwa free kufanya kazi`, **** hilo, hips hizoo, kifua usiseme then unaona kabisa kashanga kalikopitia!!!!

Cha ajabu dada yake akiwepo havai hivyo, anavaa vizuri tu!!! Ukimwambia dada mtu kuwa huyu dogo tumlipie hostel akakae huko huko chuo anakataa anadai ataharibika akae hapa hapa.

Tabia nyingine hizi za kupretend uzungu, ukirudi kutoka kazin wanakurukia rukia utasema watoto huku dada mtu amekaa pembeni anashabikia tu!! Mbaya sana kuna wakati uvumilivu unaisha jamani!!!
 
kijana juzi Tamaa ni km ugonjwa wa saratani,ambao ni angalabu kua na tiba isipokua umedhibitiwa katika hatua za awali...kwanza kitendo cha kuanza kupay tention yako kwa shemeji/whoever asiyekua mkeo kinaamsha hisia ambazo km naye ana lake atazidisha mikogo ambayo itaanza kumomonyoa uwezo wako wa staha taratibu hadi kufikia nisipotaka kuelezea...Nitoe tu angalizo kwa wale walokwisha kuoa kwamba michezo hii ni hatari kwa ndoa zao na familia ili hali kwa wasio na ndoa bado kufanya uchaguzi sahihi kuepuka hizi subtitle za "mke wangu hakujaaliwa"...kwani ulilazimishwa kumwoa bwana?
 
Anything starts from the mind. Mdogo wa mkeo, hata akikuvulia ngua, kama hujazingatia akilini; utamchukulia kama shemeji yako tu tena kama hako unakaita kabinti, utamuona kama mwanao! Mwili hauwezi hata ku-charge!!

Ila akili ikishafikiria uwezekano huo, basi kweli hata mamako mzazi waweza-mparamia tu! Binadamu asipotumia akili, hana tofauti na mbwa, mbuzi au ng'ombe; wote ni mammals tu!!

Kwa hiyo ushauri wangu ni kuwa, tumia akili! Anachofanya wala si makosa. Ana ile 'childhood trust' na haoni shida yoyote kujiachia kwa shemeji yake kwani haoni hatari yoyote. Ukitumia akili huyo binti atakuheshimu sana, ila ukiamua kufunga milango ya akili ukafungulia milango ya hisia - utabanjua kweli, ila hutafaidi chochote. Utapoteza kila kitu - Heshima, uaminifu, mapenzi, n.k.
 
Mnunulie make up shemeji yako acha njaa za ajabu ,we ni mtu mzima utajivunjia heshima yako mademu wako wengi sasa
ukifanya hicho kitendo hakitaisha kitabaki siku zote za life .labda muachane na wife.
 
Mmmmh... Mwanaume dhabiti, anaejiheshimu, anaemuheshimu Mkewe, anaeiheshimu ndoa na familia yake, anaemuogopa MUNGU, hawezi kufikiria mambo ya kijinga kama hayo! Ukifanya hivyo mdogo-mtu atamletea dharau dadake mwisho wa siku ugomvi wa kiukoo, mwisho wa Siku wanaume wote tunaonekana hatuna maana! Kama sisi ambao hatujaoa tunaweza kucontrol mihemko yetu, wewe ulieoa unashindwaje??? USHAMBA HUO
 
hapo umempa kitu cha ukweli, ingekuwa ni mdogo wake wa kike anaingia chumani kutumia make up ya wifi yake angekuwa na wazo la kumtafuna kisa kaingia chumbani kwake?

Bana e dada na shem vitu viwili tofauti kabisa,shem ruksa,Kigarama we banjua kisha ukambie kakae kimya kasilete mapozi.
 
Tuwe wakweli jamani, majaribu ya mashemeji ni tatizo aiseeee!!!! Unakaa na shemeji amejaaliwa kwa kila kitu though na mkeo amejaaliwa lakini kwa sisi tuliooa wafanyakazi kila siku wanakwenda field!!! Uuuh!!! Analala huko siku tatu siku nne ndo anarudi na mara nyingine wiki nzima ye yuko field home umebaki na shemeji, unaamka asubuhi ujiandae kwenda kazin baridi inapuliza unamkuta shemejiyo kavaa kikanga kimoja anafanya usafi!!! Unamkaripia akavae anakuchekea eti anakujibu `jamaaan shem hivi ndo nakuwa free kufanya kazi`, **** hilo, hips hizoo, kifua usiseme then unaona kabisa kashanga kalikopitia!!!!

Cha ajabu dada yake akiwepo havai hivyo, anavaa vizuri tu!!! Ukimwambia dada mtu kuwa huyu dogo tumlipie hostel akakae huko huko chuo anakataa anadai ataharibika akae hapa hapa.

Tabia nyingine hizi za kupretend uzungu, ukirudi kutoka kazin wanakurukia rukia utasema watoto huku dada mtu amekaa pembeni anashabikia tu!! Mbaya sana kuna wakati uvumilivu unaisha jamani!!!

Aisee wewe ni bonge la Genius umenielewa kupita kiasi kwani wengi wetu tunajifanya kama vile hatuna ubaya unaoendelea nyuma ya maisha yetu. Jamaa kibao wanabanjuka na shemeji zao, marafiki wa wake/wapenzi wao na House galz tatizo wana tabia ya paka kula na kufuta mdomo. Nyie kina mama msinirarue bure wakagueni waume zenu.

Kuna dada alikutana na mpenzi wake kwenye facebook kumbe jamaa naye anamtongoza na rafiki yake, kuja kugutuka wote wawili jamaa alisha kula mzigo. wabongo tunapenda sana kujifanya watakatifu kumbe siyo kabisa. Siku moja nilianzisha thread ya ushoga wacha Laanatulah zinikute utafikkiri vile ushoga haupo kabisa kumbe siku hizi umetamalaki kila kona.
 
Back
Top Bottom