nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Kipi kinakufanya um doubt kama ataweza lea wanao? Wewe ndio unayemjua sisi hatuwezi jua kama ataweza au la? Majibu unayo mwenyewe.
Nina mawazo mpaka nakosa usingizi mimi sielewi huyo mwanamke mwingine nampenda sana na naamini nikiwa nae nitakuwa na furaha,amani,na maendeleo ila nawaza ataweza kulea watoto wangu??na kuendelea kuwa na huyu mwanamke mwenye mimba bado sitakuwa na amani kabisaa kila nikimuona napata hasira na je nitajuaje km huyu mpya ataweza kunitunzia watoto japo yeye anasema ataweza