Mke wangu ana wivu wa kuptiliza

huwa unarudi saa ngapi? maana kuna mida ya utata
sasa anataka uwai uende kukuna nazi na kuonja supu kama ina chumvi jamani?
ushauri mtafutie shunguli za kufanya maana inaonekana mind ipo idle sana so minyege inamjaa ikifika saa kumi tu jicho lipo getini kukusubiri umtulize hamu
mtafutie kazi uone kama atakusumbua

japo umeweka manjonjo but umenena la maana kweli, mtu yeyote akiwa idle ndio anamkumbuka mwenza na kuwa na mawazo ya ajabu ajabu.akipata kazi itamsaidia sana
 
Back
Top Bottom