Mke wangu ana wivu wa kuptiliza

buchenza

Senior Member
Aug 24, 2012
190
66
WAN JF naomba ushauri mke wangu ni mama wa nyumbani ,lakini cha ajabu nikirudi kazini nikimwambia natoka kidogo yeye anadhani naenda kwa wanawake nimejaribu kumweleza mke wangu nanyosha miguu ataki ,siku nyingine kama nataka nipate moja baridi nalszimika kupia moja baridi ndo niende home zaidi ya hapo nikifika home kutoka ni shida ,NAOMBA USHAURI
 
Mshirikishe kwenye mambo yako.

Ukitaka kwenda kunyoosha miguu nenda naye. Ukitaka kwenda kupata moja baridi muulize kama naye anataka muende wote.

Hata kama hataki, tendo la wewe kumuuliza/ kumwomba muende wote linajenga imani na kuimarisha imani yake kwako.

Ni hivyo tu.
 
huwa unarudi saa ngapi? maana kuna mida ya utata
sasa anataka uwai uende kukuna nazi na kuonja supu kama ina chumvi jamani?
ushauri mtafutie shunguli za kufanya maana inaonekana mind ipo idle sana so minyege inamjaa ikifika saa kumi tu jicho lipo getini kukusubiri umtulize hamu
mtafutie kazi uone kama atakusumbua
 
Mshirikishe kwenye mambo yako.

Ukitaka kwenda kunyoosha miguu nenda naye. Ukitaka kwenda kupata moja baridi muulize kama naye anataka muende wote.

Hata kama hataki, tendo la wewe kumuuliza/ kumwomba muende wote linajenga imani na kuimarisha imani yake kwako.

Ni hivyo tu.

Kama ana wivu...hapo atakuwa anapalilia ugonvi kuliko kuponya,...kwenda na mwanamke wako kupata moja baridi ni hatari zaidi....ni mtazamo tu.
 
Jaribu kutoka nae ili naye aone unapo kwenda kila siku!
 
Kama ana wivu...hapo atakuwa anapalilia ugonvi kuliko kuponya,...kwenda na mwanamke wako kupata moja baridi ni hatari zaidi....ni mtazamo tu.

If you watch your p's and q's then there is nothing to worry about.
 
Ulitaka amuonee wivu nani? Fanya kutokelezea nae viwanja unavyo penda kujichanganya
 
Si vibaya kwa mkeo kuwa na wivu kwako.
Kikubwa kinachomfanya yeye kuwa hivyo ni kule kuaga kwako mara kwa mara baada ya kutoka kazini..ni vyema ukamuondoa wasiwasi au huo wivu wake kwa kutoka naye mida hiyo ambayo si ya kazi,maana pengine huwa anakumiss ukiwa kazini hivyo anatamani akuone home ukishatoka kazini..Punguza misele mkuu.
 
Jamaa kasema mke wake ana wivu wa kupiliza_kama umemwelewa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom