"Mke wangu ana tattoo yenye jina la jamaa aliyemtoa bikira"

Hivi hayo madude huwaga hayafutiki?
Ni mambo ya zamani kama inamsumbua awe anaiziba na plasra kila anapokuwa faragha
Kumbuka brain inatunza memory kutokana na sensory organ - kama ni macho basi picha au video itakaa kichwani sasa akiziba na plaster ndio na memory itakuwa imefutika?

Kama hawajapata mtoto ni kutimua mke, hafai huyo? Kwa wale ambao hamjaaoa msikubali kununua simu kwenye mfuko mtakuta kipande cha mche wa sabuni!!
 
Huyo jamaa nae hajiamini,mi nilifikiri ili hoja angalau iwe na mashiko kidogo huyo mkewe angekuwa anahisia na huyo mtu,unajua unapokuwa kwenye mahusiano hamtarajii kuachana so mnaweza kufanya mambo mengi na hilo ni mojawapo,akaifute kama haifutiki shida ya nini kama mke wako ni mwaminifu?
 
bora haoo wenye tatoo na alam zingine zinazoonekana lakini wengine wameoa kwa kupewa tunda kabla ya ndoa lakini wana misururu ya majina ya wanaume mioyoni mwao walio wamega.We ukiona mpz wako ana tatoo ya jamaa ktk **** moja jaribu na wewe kumwomba na wewe uweke tattoo yako ktkt **** la pili .kwan hata km ukiifuta innawezekana hiyo tatoo ipo na rohoni pia
 
Hebu chukulia kila anayepita anaweka tattoo yake pangekuwa patamuuu....baadhi wangekuwa na tattoo mpaka usoni
 
Hebu chukulia kila anayepita anaweka tattoo yake pangekuwa patamuuu....baadhi wangekuwa na tattoo mpaka usoni

hivi za wamakonde ni tatuu? Kwenye nyuso....
 
  • Thanks
Reactions: GY
Kama haifutiki itamuumiza sana jamaa maishani mwake. Ajitahid aitoe. Kumuacha sio perfect maana ameshaoa. Lakini kwa wale hawajaoa, epukeni wapenzi wanaoficha sana uchi kabla ndoa...

Haya madogo, mmesilia ushauri huo, muombe kubanjua tunda kabla hamjatangaza ndoa!!!
 
Dah huyu dada anahatari sana... hii hata mimi Demu alitaka ajichore tatoo kiunoni yenye muunganiko wa kifupi ya majina yetu. nikacheki nikaona hapa mimi sio Muoaji then mtoto wa watu ajichore then siku ya kummwaga itamletea matatizo kwenye mahusiano mapya so nimchomolea na kusepa fasta. Ila kuna kitu nimejifunza kwa madinti kama wakipenda wanapenda kuliko uwezo wa akili zao kuhandle ndio maana wanakuwa wako tayari kwa kila kitu ili kuturidhisha sisi wanaume.
Pole zake.... next time atumie akili... Boyfriend sio MUME
 
Hajatulia huyo dada,kama angekuwa makini asingeiacha hiyo tattoo mitaa hiyo nyeti.
 
Dah huyu dada anahatari sana... hii hata mimi Demu alitaka ajichore tatoo kiunoni yenye muunganiko wa kifupi ya majina yetu. nikacheki nikaona hapa mimi sio Muoaji then mtoto wa watu ajichore then siku ya kummwaga itamletea matatizo kwenye mahusiano mapya so nimchomolea na kusepa fasta. Ila kuna kitu nimejifunza kwa madinti kama wakipenda wanapenda kuliko uwezo wa akili zao kuhandle ndio maana wanakuwa wako tayari kwa kila kitu ili kuturidhisha sisi wanaume.
Pole zake.... next time atumie akili... Boyfriend sio MUME
 
Mbona sio ishu kubwa. Labda kama alimdanganya kuwa yeye bikra bado. Lakini kama alimnyima kwa sababu huko nyuma ashachezewa sana na akina ANGO halafu wakaingia mitini, basi kashajirekebisha huyu. Ndio mzuri wa kukaa nae.
 
duhh!!!
lakin poa ...mavi ya kale....

amchek ,amuhoji km akionekana kweli ni tattoo tu na wala hawaendelei basi poa apotezee..ASKIP KUONA IYO TATTOO...ist pocbo?


kwa utapel uliozagaa siku izi et ..walahi ata mtu akinambia rose pls tusichunguliane mpaka ndoa ahh HAPANA..SIKUBALI....

mara nyng watu wanatumia mbinu iyo km defence flan katika UPUNGUFU WALIONAO..TEST B4 ANYTHNG IS CRUCIAL....

Kuna rafik yangu alimpata jamaa enzi izo tupo mabibo hostel ..jamaa akawa anajifanya mwema sana eti ataki tendo mpka ndoa..bas bibie akawa anajisifia ahh bfrend wangu mtumwema ..nimepata mume mwema...ahh watu wwakamwambia wewe fanya UPEKUZI YAKINIFU USIJE UKAUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA ..AHH bwana ndoa ikafungwa usiku honey moon nakwambia jamaa bado anavuga et atak..kachoka basi bibie akalia sana ehh jamaa akasema basi poa ngoja nikupe nakwambia alivyochojoa ahh bibie kidogo atoke nduki..kitu kifup mithili ya funguo wa STARLETi nakwambia..apo ndo kimedinda..ahh bibie mwez tu akatanga ndoa imemshnda..jamaa kidudu kifuuuuuuuuuuuup km mtoto mchanga....

zaman watu walikuwa na maadili wakisema tusifanye basi ni kwa sababu ya maadili na wala hana nia mbaya ..lakinj siku izi watu wanaitumia iyo mbinu kuficha maovu...

mtu anajifanya ahh mi bikra tusidoo mpk unioe...ahh mwisho wa siku ukija kumchek unamkuta bibie ana mattattoo kila pembe ..

paja la kushoto tattoo ya juma,paja la kulia tattoo ya john titi la kushoTo kuna tattoo ya samweli ..titii la kulia tatoo ya tom...**** la kulia tatoo ya ben...ahh wewe usikubali HAKIKISHA MALI/MZIGO KM UPO KAMILI KABLA AUJAUBEBA.

Ndio maana ukaitwa Rose!
Nakumbuka kama sio kwenye mambo ya kikubwa basi ni hapa mmu, kuna mwana jf aliwahi ku upload kitu kama hiki kuhusu athari za kutomega/megwa kabla ya ndoa, sasa hawa wasioingia jf wanapungukiwa na maharifa. Kama angekuwa msomaji wa jf angekuw kaelimika siku nyingi.
 
Ni mwanamke gani ana guts za kumwambia newly wed hubby on their wedding night
kuhusu mwanaume aliye mbikiri - hata hajalulizwa kama kabikiriwa??

Mwanamke yeyeto mjanja wa kukwepa kufanya Mapenzi na kufanikiwa kuolewa na huyo jamaa
Sio mjinga kiasi hicho... Jina ingekua Mike sawa... ANGO, Jina linajipa kabisa kua hata product...

kumbe nyinyi iko fundisha wenzenu sema uongo ee. na akufundishae for sure na yeye yuko hivyo ivyo....mwenzetu yuko kwenye ndoa changa, na labda kajutia maisha yake ya hapo nyuma, kaamua kuanza kumweleza mwenzake ukweli wote. hakulazimishwa kuyasema haya. angeweza sema chochote kama mnavyosuggest. ushauri wangu ni kwa jamaa kuwa mvumilivu na kumuuliza mwenzi wake mpya imekuwaje amekuwa na hiyo chata mpaka leo. kama kweli mdada anaijutia, waende kuitoa na waendelee. kama dada anakuwa mgumu au hatakai kuitoa manake hajamalizana na huyo wa zamani. hapo hatua muafaka zitafuata
 
Mwambie nae aweke chata yake kwa upande wa "nyuma" inawezekana bado bikira.
 
Mwanamke mwenye tatuu ya aina yeyote hana nafasi kwangu.......,I hate it
 
napendaga sana mademu wanaoficha uchi kabla ya ndoa.. wanatoa sana somo kwa watu... binafsi nikikuomba siku ya kwanza ukakataa... jua sitaomba tena na mahusiano ndo kwishney... chupi zote zilizojaa hz..!
 
kanyaga twenda kama jamaa alimtoa bikra ya mbele na yeye amtoe bikra ya nyuma mambo yasawie maridadi kabisa sasa wivu wa nini na maana wakato huo na yeye mume alikuwa na mazagazaga yake teleeh....
 
Back
Top Bottom