"Mke wangu ana tattoo yenye jina la jamaa aliyemtoa bikira"

Si ushukuru mungu kaweka hiyo ya jamaa wake aliemtoa bk angeMuorodheshia picha za waliomptia mpaka anamuwowa si angevunja laptop

kubali yaishe ukiwa umeshabeba mzigo huna budi kuubeba unless kama tra wanakubugudhi sana lakinikwa hiyo tatizo

jifunze kutunza siri za familia yako kuna watu wanasghida kuliko hii ulio nayo ndugu lakini kutokana na kutunza

siri zao mungu amezidi kuwapigani ana kujua jinsi ya kuombana msamaha..pole kama ni ile ya kuchoma huyo lazima afe

nae huna cha kufanya..na muulze kwa nini akuweka ya aliepa bikira kaweka ya aliemtoa ??

Wivu mpaka past tense,jamani aaaarrrgh, nendeni hospita ile ya oysterbay,wanatoa ila tayarisha kama dola 3000

Osterbay kubwa bana kuna sehemu hukumbagala panaitwa osterbay ipi unayosemea mpwa??utawasaidiawengi maana kuna wengine wamejiandika sehemu za siri hizo picha basi tu wanaume wengi sio wabunifu kugundua so ukielekeza utaokoa ndoa za wengi mpwa

duhh!!!

lakin poa ...mavi ya kale....

amchek ,amuhoji km akionekana kweli ni tattoo tu na wala hawaendelei basi poa apotezee..ASKIP KUONA IYO TATTOO...ist pocbo?

kwa utapel uliozagaa siku izi et ..walahi ata mtu akinambia rose pls tusichunguliane mpaka ndoa ahh HAPANA..SIKUBALI....

mara nyng watu wanatumia mbinu iyo km defence flan katika UPUNGUFU WALIONAO..TEST B4 ANYTHNG IS CRUCIAL....

Kuna rafik yangu alimpata jamaa enzi izo tupo mabibo hostel ..jamaa akawa anajifanya mwema sana eti ataki tendo mpka ndoa..bas bibie akawa anajisifia ahh bfrend wangu mtumwema ..nimepata mume mwema...ahh watu wwakamwambia wewe fanya UPEKUZI YAKINIFU USIJE UKAUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA ..AHH bwana ndoa ikafungwa usiku honey moon nakwambia jamaa bado anavuga et atak..kachoka basi bibie akalia sana ehh jamaa akasema basi poa ngoja nikupe nakwambia alivyochojoa ahh bibie kidogo atoke nduki..kitu kifup mithili ya funguo wa STARLETi nakwambia..apo ndo kimedinda..ahh bibie mwez tu akatanga ndoa imemshnda..jamaa kidudu kifuuuuuuuuuuuup km mtoto mchanga....

zaman watu walikuwa na maadili wakisema tusifanye basi ni kwa sababu ya maadili na wala hana nia mbaya ..lakinj siku izi watu wanaitumia iyo mbinu kuficha maovu...

mtu anajifanya ahh mi bikra tusidoo mpk unioe...ahh mwisho wa siku ukija kumchek unamkuta bibie ana mattattoo kila pembe ..

paja la kushoto tattoo ya juma,paja la kulia tattoo ya john titi la kushoTo kuna tattoo ya samweli ..titii la kulia tatoo ya tom...**** la kulia tatoo ya ben...ahh wewe usikubali HAKIKISHA MALI/MZIGO KM UPO KAMILI KABLA AUJAUBEBA.

Wera wera mamaaaa Rose! Mabinti mko moto sana siku hizi sijui mamazetu wanawa nywesha nini tunacho nyimwa siye Midume?

huyo Woe man a asume anataka kazi ya Jeshi angefanyaje na Tatoo hazitakiw? Afanye hivyo sasa.

Nafikiri inaitwa Trauma ile hospital ni kiboko,wanafanya hadi plastik surgery......na wako na gharama sana,i hope ni hiyo
Osterbay kubwa bana kuna sehemu hukumbagala panaitwa osterbay ipi unayosemea mpwa??utawasaidiawengi maana kuna wengine wamejiandika sehemu za siri hizo picha basi tu wanaume wengi sio wabunifu kugundua so ukielekeza utaokoa ndoa za wengi mpwa

Hata ukifuta tatoo utakuwa umefuta kwenye paja tu lakini rohoni bado mkeo atakuwa amemuweka huyo ANGO wake. Tatizo lako na wewe ni mshamba, yaani unafanya mapenzi ya babu zetu, yaani mzigo hujapakua mpaka honeymoon. Shame on you

uwe unamDO mkiwa mmezima taa ili usiione hiyo tatoo kama tatizo ni tatoo tu, vinginevyo mimi ninavyoona hilo ni swala dogo sana wala halina uzito wa kumtwanga mwenzio red kadi. ama uwe unakunywa kidogo kabla ya kuDO....!!

dah hii safi sana nimeipenda
utamwoaje mtu bila kucheki mambo kwanza,
kuna uzembe ila huu umezidi
akacheki mpango wa kuifuta hiyo tattoo
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hahahahhahaaaaa, sasa tatizo nini? si tatoo tu au kuna zaidi??? kama ni mali si zipo pouwa tu??? aaaah ila ntakachomfanya hata kaaa amkumbuke huyo jamaa tena....najua mwenyewe.

wewe ushaingia choo cha kke jisaidie tu,na ndoa zenu za bila ku do na dunia hii

Ushauri wangu mie kwa kweli kwa maisha ya siku hizi hakuna kumwamini mwanamke hata kidogo

Msifate desturi na mila za wazee wetu na babu zetu n.k.

Yaani duh ingekuwa siri kaficha ikatoka baadae sawa ila nae hata kuona mkewe yukoja kabla ya ndoa na anaishi jijini kweli huyo kanaswa haswa sio mchezo

Asilimia 99.9% ya waingiao kwenye ndoa huwa wana siri yaani hawaambii wenzo yote ya maishani mwao esp kwebye mambo ya kimapenzi

Kwa kweli rafiki yako nae katoa kali, amekulia mjini kweli wewe au nae alikuwa bikira akategemea mwanamke atakuwa bikira

Ndio hizo muache za kubem€beleza demu na kusema unataka mke na unafata dini eti mtaonana kimwili mkioana mnaongea sana na gemu lilijipa kwa binti

Nakushauri umwache mwenzio aamue mwenyewe umeshaongea kakusukiliza sasa yanayobaki mwachie ni maisha yake nyamaza usije kula lawama bure.

Btw muulize kama alipima vvu kabla ya kuoana maana aende haraka

Hapo kuna tatizo kuuubwa, maana hawezi kumwamini tena. Kwakuwa hakumkubalia wakutane akimfanya huyo bwana aamini kuwa ni bikra sasa amedhihilisha sio bikra alishabikiliwa na mwingine chakufanya ni kasamehe na kusahau au la wafanye namna ya kufuta maana kila anapoona anmkumbuka yule jamaa inakuwa ni tatizo, huyo dada amhakikishie huyo jamaa hawapo pamoja tena na maisha yaende mbele kwa nini yeye alipooa alikuwa hajawahi kutembea na mtu mwingine? (samehe sahau) ukimuhacha utampata aliyechora mwili mzima majina kama mia hivi Don't divorce GOD hate it take care!

Huyo msichana sio mkweli! Niko 99prcnt sure.Hio tattoo sio ya mtoa bikra,ni vigumu mwanamke decent wa kiafrika akubali kuwekwa tattoo mapajan 4 da 1st time. Hilo lilikua changu na jamaa ako ni ngombe. Ishu ingekua inarekodi kama mileage za gari ingesoma watumizi si chini ya 60!

Kwasababu ishu iko hadharani huyo wife hana budi kuweka wazi kila kitu na ndipo msamaha uwepo, mume ulikubali kuo kwa shida na raha na kwa bahati mbaya umeanza na shida vumilia ila awe wazi zaidi kwako itasaidia kutoa msamaha wa kweli

mi sioni tatizo la hiyo tatoo, ingekuwa jamaa wa kwanza alipomaliza kutia na kutoa alilishona tundu la katikati hao kweli ningeona tatizo lakini kumbe tatuu tena iko kwenye paja? ina uhusiano gani na tundu la kati????? mh story zingine kaaazi kweli kwkeli

Back
Top Bottom