Mke wangu ananikera kwa tabia yake ya kutopenda kuoga

Uyu kijana nivi i muongo, kuna mama mmoja clouds fm saa sita kasoro ktk kipindi cha leo tena alikuwa akijadili huu udwanzi pia ukoko, mkeo unamsingizia, wakati ni tabia yako daily kuzama chunvini,... Puhh
 
wewe si ulikuwa unatafuta mtaala wa biology na chemistry kwenye jukwaa la elimu? Shule hujamaliza mke umemtoa wapi? Au ndo wanafunzi mnaorukia mapenzi mapema baadae mumlaumu ndalichako? Acha kuchezea akili za watu.
 
Anadai et anapenda ile harufu ya uke wake (uvundo) kuunusa .. Iv wataala wa kisaikolojia anaweza kuwa anasumbuliwa na nn?
ngojeni niwaambie ukweli nimeona hili ukiona mwanamke kama huyu uju mwanaume wake nae anasmell hivyo anaona vyema harufu ziwe sawa sasa ushauri wangu ukifika tu nyumbani kimbilia kuoga uone kama na yeye atooga ukikaa na laprop mpaka usiku ndio uoge na yeye aanaitaji kushabihiana na hiyo harufu yako ndio maana kanisani mkaitwa mwili mmoja na kifo ndiko kitawatenganisha na sio JF DARE 4MORE
 
Back
Top Bottom