mke wangu ana mimba,nashindwa kukutana naye kimwili

Unaweza kushiriki tendo la ndoa na mke wako mpaka mimba ifike mwezi wa 7-8 kutegemea na afya yake,kuna wengine hufanya mpaka anapoanza mwezi wa tisa,haina madhara yoyote usimlalie juu tu.
 
Jamani msimcheke sana huyu jamaa, unajua kama watu wamehangaika kwa mda mrefu kupata mimba katika ndoa huwa wana hofu sana ya kuiharibu mimba pale Mungu anapowajalia. Lakini nadhani mmempa ushauri murua.
 
Kuna sredi nyingi nilishaona humu zinazotoa elimu namna ya kushiriki na mke mjamwepesi... zitafute

Otherwise, majirani watakusaidia kuweka masikio na kucha
 
Au unaogopa una mzigo mzito nini? mbona style ni nyingi tu! kwani mkeo huwa ana matatizo mimba huwa zinatoka sana?kama ndio usifanye ila kama hana tatizo wewe endeleza tu.tena changa hata foki cha ndeme unafanya tu

Mh gaga, style zingine utampoteza mwenzio.
 
Unajua wanaume wengine husingizia kama huyu jama kumbe ni kigezo cha kula nje. Maana akila nje akirudi mbona huli atakuwa na chakujitetea. Maana akisema ameshiba wakati msosi upo home watamshtukia. Geresha tupu hapa. Mwanaume gani asiye jua hilo. Acha vizingizio.

Tabutupu bwana, mawazo yako saingine hua yana akili, ujue hata mi nimewaza jambo hili. Jamaa shida yake watu wamshauri akapige niaje nje, sasa imekua tofauti tumemgomea katakata. Dizaini anataka kuyumbisha watu humu.
 
Mimba mwezi mmoja unaogopa?? Sasa huyo mtoto atakuaje bila virutubisho?? Au mkeo mgonjwa amepewa bed rest ya mpaka ajifungue?? Wewe watu wanapiga mzigo mpaka siku ya kujifungua wewe unaogopa just one month???
 
Back
Top Bottom