mke wangu akitema mate nami natema mate

jamani ile ni sukran ya mimba
uzao mwezi wa 4

ila si haba biblia inasema tukaijaze dunia kila mahala
hakuna ilipoandika annually,weekly,...teeeehhhteeehh
karibuni jamani ;dume linakuja,ttunakaribsha visox vidogo vidogo
visiwe michango ya waathirika morogoro lakini
man twasikia watu washaanza fanyia kazi misaada ile loh!!
Sijui watu kama hawa tunawaenzije kwa kula michango ya waathirika
haya bwana hongera mwenyezi mungu akubariki na wife ..nafurahi inavyoonyesha na wewe unamsaidia kulea mimba hivo vichefuchefu
big up sana ..
 
si usiku tu hata mchana pia
kaka nimesoma hii kila niktym yeye anawahi kulala mi ndio namruka
we acha;watu mjini wanauliza vipi;bahati sina hata kitambi wangeulza kulikoni,i gazeti mshangao
 
Back
Top Bottom