Mke wa waziri mkuu ni kiongozi wa kitaifa?

Give me a break man.Kama umeishiwa hoja kaa kimya usinifananishe na wajinga unaowajua na kuwafikiria.Nilitembea na unaemuita Boyfriend wangu kwa pesa yetu tuliyoifanyia kazi wenyewe na si kodi ya mtanzania yeyote.

Yale yalikuwa mapato halali niliyoyafanyia kazi na ilikuwa ni kwa faida yako na ukoo wako wananchi wa kijiji chako wanalia na umasikini,maradhi na umasikini.Watu mmekuwa masikini wa akili kupita maelezo yanavyoelezea, mnatetea upuuzi usiokuwa na kikomo wakati ndugu zenu wanalia na kusaga meno.

Linalozungumzwa ni matumizi mabovu ya fedha za walipa kodi.Tafuta wapi nimetumia fedha ya chama mimi kama mimi.lete ushahidi hapa ndiyo uondelee kuongea upuuzi.

kuwa na akili yenye miguu miwili inayoweza kutembea na kuonyesha muelekeo,mmekuwa ni watu wa kutetea na kuandika mambo yasiyo na macho kwasababu tu mmpewe kazi acheni kuwa vibaraka,muogopeni Mungu.

Not only that nenda kajifunze suala la mahusiano urudi hapa uandike upuuzi wako.

Mama/dada,

Pamoja na kuelewa ilivyo kero na adha kusikia jinsi unavyo ongelewa nakushauri na wewe pia ujifunze jinsi ya kujibu na kuhandle hizo situations. Assuming wewe ndiyo Josephine wa Dr. Slaa, partner wako ana nafasi kubwa na heshima ya kipekee kwenye jamii. Hivyo basi hata na wewe unavyo jibu baadhi ya watu naomba ujiangalie sana baadhi ya lugha yako haiendani na heshima ya Dr. Slaa. Siyo kumtetea lakini Mama Salma na yeye kasemwa mengi lakini sijawahi kumsikia au kusoma hata siku moja akitoa majibu ya namna hii. Anyway ni ushauri wa bure tu ila how you carry yourself is your choice.
 
Una lako na mzee Mwinyi, kwani neno "First Lady" kalianzisha yeye? na kama dunia nzima inatambua kuwa mke wa rais ni first lady kwa nini wewe ushangae. nini maana ya first lady, si ndio mwanamke bora kuliko wote katika nchi hiyo, hapo maana yake hakuna hawa ghasia wala makinda hao wote wapo mbali huko. huenda wakawa10th lady huko.mke wa waziri mkuu ni 2nd lady, yaani ni bora kuliko mawaziri wote wanawake na wengine wenye vyeo mbalimbali ukimtoa 1st lady. sasa kama makinda tu ambae si first wala second ana sauti serikalini je first na second si wanaweza hata kumfukuza kazi.

Duh....nimesoma hii nikabaki naduwaa! Kweli kuna watu wanahitaji msaada, maana hizo akili zimeoza na kuvunda! first lady = mwanamke bora?? Where did you learn that?
 
Kuna swali najiuliza hivi hawa viongozi wasipoenda na wake zao si wataenda na nyumba ndogo ambayo watz hamtaiona runingani? Au hii imekaaje? Maana hawa watu uaminifu wao ni questionable! Si kwa raia hata ndoa zao pia
 
HUYU MKE WA PINDA NA PINDA MWenyewe wote vilaza wa fedha za umma. Hapa hakuna cha mtoto wa mkulima wala nini. Wote ni magamba, wajivue waondoke.
 
Huku tunakoelekea sasa ni nchi kua na ma-1st lady (sijui waitwe 1st ladies au?) Hiace inajaa,
Nimeskia Mkuu wa Kaya kaoa juzi mkoani Iringa.
 
Duuuuh, wadau hapa huyu Josephine ndie huyu mwenza wa Kamanda Dr. Slaa!
Kama ndie kudadadadeki kazi ipo,
Hana bureki wala kalachi!
 
Give me a break man.Kama umeishiwa hoja kaa kimya usinifananishe na wajinga unaowajua na kuwafikiria.Nilitembea na unaemuita Boyfriend wangu kwa pesa yetu tuliyoifanyia kazi wenyewe na si kodi ya mtanzania yeyote.

Yale yalikuwa mapato halali niliyoyafanyia kazi na ilikuwa ni kwa faida yako na ukoo wako wananchi wa kijiji chako wanalia na umasikini,maradhi na umasikini.Watu mmekuwa masikini wa akili kupita maelezo yanavyoelezea, mnatetea upuuzi usiokuwa na kikomo wakati ndugu zenu wanalia na kusaga meno.

Linalozungumzwa ni matumizi mabovu ya fedha za walipa kodi.Tafuta wapi nimetumia fedha ya chama mimi kama mimi.lete ushahidi hapa ndiyo uondelee kuongea upuuzi.

kuwa na akili yenye miguu miwili inayoweza kutembea na kuonyesha muelekeo,mmekuwa ni watu wa kutetea na kuandika mambo yasiyo na macho kwasababu tu mmpewe kazi acheni kuwa vibaraka,muogopeni Mungu.

Not only that nenda kajifunze suala la mahusiano urudi hapa uandike upuuzi wako.

Pole mama, anayeongelewa hapa ni Tunu Pinda, mtoa hoja hakumaanisha wewe!
 
Hata mkeo ni kiongozi wa kitaifa, bila wewe na mkeo na mimi na mume wangu na wengine wote waliopo kutakuwa na Taifa?[/QUOTE=
FaizaFoxy kwa heshima na taadhima naomba tusianze kukufundishia Maana ya Kiongozi wa kitaifa hapa. Usiharibu kila mjadala ambao ungeweza kuibua mambo yenye kuelimisha jamii yetu kwa kuandika bila kutafakari kwamba wigo wa wanaokusoma ni mpana.
 
Huyu hawezi kuwa Josephine wa Amiri Jeshi Dr. Slaa na kama kweli ni yeye basi naapa haipiti 3 years Dr.Slaa atakimbiwa na Josephine ataenda kwa mwanaume mwingine kama alivyomkimbia mume wake wa ndoa wa kwanza.
 
Back
Top Bottom