Mke wa Waziri afumaniwa....

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
10ws9q0.jpg

27zz1hc.jpg
 
Duuu, mtu kamegewa. Haya mambo ya kuwa na wake wengi na uwezo huna....................
 
Udaku sina hamu nao..inawezekana mwenye mali anaitwa Waziri na sio cheo..
 
lakini mwanamama anasutua na kipindi kama hiki mzee yuho biz na masuala ya kura acha vijana wamtafrije kwa raha zao
 
Mimi siziamini picha hizo kwa sababu zifuatazo:
1. Kitendo cha waziri huyo kuruhusu mkewe huyo kupigwa na huyo shemeji yake aliye kifua wazi.
2. Shemeji mtu mwenye jeans kama hakuwa ndani alitoka wapi kuja kumpiga wakati yupo kifua wazi au alimpiga wakati ameshavua shati, kitendo ambacho si rahisi
3. Hakuna hata picha moja hapo ya huyo aliyefumania, yaani Waziri.
4. Huyo mwanamke mwenye baibui wanasema kafumaniwa na alikua akizini, alijiremba saa ngapi na lipstick hiyo mdomoni baada ya kutokea tukio hilo lenye utata?
5. Sidhani kama kichwa cha huyo mwenye baibui ndiyo cha mwenye mwili huo
6. Anaonekana alipigwa picha akipata kibano kama ni sebuleni vile. Akaenda chumbani akavaa baibui akafuatwa tena huko na waandishi akawaruhusu wampige picha akiwa amekaa kwa huzuni hivyo.

Uzushi na uongo mtupu!
 
Nashawishika huyo kwenye picha ndiye Mr. Waziri bin Rashid Kalumekenge.
 
I concur with you. Mbinu za kuuza gazeti na kwa kuwa hakuna masuala ya Mkuchika kwenye udaku haina shida
 
Du lakini mwanadada kaajaliwa kwelikweli hapo lazima mtu ajinyonge,ama kuumbe wakubwa wanafaudu jamani na mahela ya EPA ndo yanaishia huko,wala hela ya EPA kumbe wapo wengi
 
Back
Top Bottom