Mke wa tajiri yangu ananitaka kimapenzi

Duh!..chalii yangu umekosea njia,kahadithi kako huku si mahala pake bana...kama haka kahadithi ungekatupia pale kwa facebook hakuna ambaye angeshangaa house boy kutumia facebook kwani ni mtandao ambao unazungumzika kwa sana lakini kitu cha Jamii forums ahahahah chalii kajipange wakulu wamekushtukia.lol!
 
nakushauri uachane na huyo mama. Kwa kuwa unajua kutumia komputa, basi jitahidi upate kazi nyingine nzuri zaidi ya hiyo ya kutunza mifugo.
 
Jamani wadau nisaidieni kwa hili mimi ni house boy nimetolewa kijijini kuja kulisha mifugo ya bosi wangu hapa dar lakini huyu shemeji yangu yaani mke wa bosi wangu ameshanionyesha dalili zote za kunitaka kimapenzi na ameniahidi kuwa ataniamisha na kunitafutia mahali pa kukaa kuliko kusubirli mshahara wa sh 60,000 kwa mwez, na huyu shemeji yangu ameniahidi kunipeleka shule na ameniambia nikithubutu kusema kwa bosi ndio nitajiweka katika hali ngumu zaidi na nitafukuzwa kama mbwa hapa nilipo hii kozi ya computer kanipeleka yeye na kaniahidi nikikubaliana naye atanifanyia mengi mazuri na kinachoniumiza zaidi bosi wangu alishaniambia mwisho wa kazi yangu ni mwezi wa kumi na mbili mwaka huu alinieleza tangu ananichukua nyumbani sasa wadau nipeni ushauli kuhusu huyu shemeji yangu nifanyeje
Kweli wewe mwongo.Ngombe unalisha saaa ngapi na Computer course unaenda saa ngapi?Pia umesema hauji kizungu je huko wanfundisha kiswahili au Kibena?Anyaway siku jamaa akijua kazi kwako.Kijiji au Mochwali.
 
Duuh huyo houseboy ni noumer, yaani mwezi na JF keshaijua? Mie nimeanza kutumia mtandao miaka 6 iliopita na nimekuja kujua kuwa kunakitu kinaitwa JF mwaka huu, yeye mwezi tu....

Nahisi hapa naibiwa kiingilio.

Ndio ukubali watu tunatofautiana kimawazo..... inawezekana jamaa ni mjanja kuliko wewe ....
 
hebu acha mambo ya ajabu wewe! Fikra yako zipeleke kwa beki 3 wao, huyo mke atakuponza!
 
Ingawa umetunga, ila inawezekana ukawa na kamtazamotazamo kwa kutaka kurukia kitu fulani ambacho unadhani kimejisogeza kwenye 18 zako.. my bro ACHANA NA WAKE ZA WATU.. WAKE ZA WATU SUMU..ITAKUCOST MAISHA YAKO MENGI YA BAADAE..
 
Houseboy anajua jamii forum, lakini ni sawa kuna ndugu yangu kwake hadi hg anaingia internet yaani iko full home
 
ladba kimeo chake (cm) ina internet,we house boy jipigie tuu huyo mama ila ukifumwa watachezea kidot chekundu hicho
 
Jamani wadau nisaidieni kwa hili mimi ni house boy nimetolewa kijijini kuja kulisha mifugo ya bosi wangu hapa dar lakini huyu shemeji yangu yaani mke wa bosi wangu ameshanionyesha dalili zote za kunitaka kimapenzi na ameniahidi kuwa ataniamisha na kunitafutia mahali pa kukaa kuliko kusubirli mshahara wa sh 60,000 kwa mwez, ...........

Usingekuwa humu, JF hakuna watu wa introduction to computers
 
Jamani wadau nisaidieni kwa hili mimi ni house boy nimetolewa kijijini kuja kulisha mifugo ya bosi wangu hapa dar lakini huyu shemeji yangu yaani mke wa bosi wangu ameshanionyesha dalili zote za kunitaka kimapenzi na ameniahidi kuwa ataniamisha na kunitafutia mahali pa kukaa kuliko kusubirli mshahara wa sh 60,000 kwa mwez, na huyu shemeji yangu ameniahidi kunipeleka shule na ameniambia nikithubutu kusema kwa bosi ndio nitajiweka katika hali ngumu zaidi na nitafukuzwa kama mbwa hapa nilipo hii kozi ya computer kanipeleka yeye na kaniahidi nikikubaliana naye atanifanyia mengi mazuri na kinachoniumiza zaidi bosi wangu alishaniambia mwisho wa kazi yangu ni mwezi wa kumi na mbili mwaka huu alinieleza tangu ananichukua nyumbani sasa wadau nipeni ushauli kuhusu huyu shemeji yangu nifanyeje

Join Date : 24th August 2011
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given0

Tangu 2011 wewe ni house boy?
dady watu8 unamuona huyu anadanganya wakubwa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom