Mke wa Rais ni MJAMZITO?

Is that a big deal?

is the so called first lady not a woman??? mmh mi sioni ajabu kama ana mimba, I know salma si mzee wa kushindwa kubeba mimba nadhani she is 42/43 yrs bado anaweza kuzaa na pia si ajabu. Tumtakie afya njema maana wakati mwingine mimba za siku hizi kufichua vigonjwa vilivyolala!
 
To me that has an impact ktk mengi tuu!
JK At the age of 50+ unazaa mtoto jamani huo ni umri wa kulea wajukuu!
Lazima tuwe strategic ktk ilo na sio kuwa myopic.
Kama kweli hongera zake angalau atulie budget ya misafara itapungua ingawa kwe mwenzie itakuwa ndo ruksa!
Njowepo, 'age ain't nothing but a number', tuacheni mambo ya uzungu, mbona sisi Wasukuma tunatengeneza watoto mpaka at 70!, JK is just 50! mbona ni kijana tuu?. What's a problem?!, baba anacheza na mwanae kama babu.

Maisha asili ya Kiafrika, mtoto ni wa jumuiya, extended family, hata nikipata mtoto at 70, nduguze wa kumlea wapo!. To be honest, I have 5! and making more!. Mambo mengine yako kwenye damu na viini tete vya DNA, sisi wengine uzungu umetushinda!.
 
Kubeba mimba siyo tatizo, kama ana mimba amechemka tena sana. baada kufanya yalimweka madarakani anaenda kuzaa??

Inashangaza though we are not sure.

Joyce
 
hongera zake, tunashukuru Mungu mtz mwingine anakuja...hilo kwani ni tatizo? mbona ni jambo la furaha.....
 
Kwani sisi na wamerikani?????
Tunazungumzia mambo hayo kwenye JF kwani yatatusaidia nini sisi kama watanzania?????
Jamani mna mponda bure mwanzilishi wa thread,kwa status ya yule mwanamke mbona hiyo inatosha kuwa habari!!!,Angekuwa Michelle Obama ndo ana mimba watu mngechangia positively.
 
Sioni cha ajabu First lady kupata mimba, Mama Blair aliwahi kujifungua mtoto wakati Blair akiwa PM, PM wa sasa David Cameron mkewe anatarajiwa kujifungua mwaka huu pia. So, sio issue.

Issue hapa, tumuombe mama yetu wa Taifa akajifungulie pale Mwananyamala ili ile wodi ya wazazi ipate kipaumbele kama barabara zetu zinavyopata attention mkuu akitaka kupita.
 
Hongera FL

Hii ni "news" na ni "concern" - Hata mke wa Rooney alipokuwa mjamzito iliandikwa sana kwenye magazeti na kusomwa sana!

Mke wa Rais anapokuwa mjamzito lazima ieleweke kuwa JK atapungunza uwezo wake wa kutumikia wananchi waliompigia kura na kukaa karibu na MKE wake. Kwa ustaarabu wa kawaida tuongelea almost 25% ya muda wake wa kazi utaelekezwa kwenye familia
 
Sioni cha ajabu First lady kupata mimba, Mama Blair aliwahi kujifungua mtoto wakati Blair akiwa PM, PM wa sasa David Cameron mkewe anatarajiwa kujifungua mwaka huu pia. So, sio issue.

Issue hapa, tumuombe mama yetu wa Taifa akajifungulie pale Mwananyamala ili ile wodi ya wazazi ipate kipaumbele kama barabara zetu zinavyopata attention mkuu akitaka kupita.

nimeipenda comment hii kwamba akajifungulie pale mwananyamala tena auguzwe na manesi wale wenye matusi na dharau, pengine rais ataona uchungu halisi wa kilio cha watz...
 
Mbona watu walishaliletaga hapa!,ilo ni la siku nyingi tu.Uzuri mimba haijifichi,na ukiificha hautaficha mtoto.Hata hivyo sheria haimkatazi rais aliyeko madarakani kupata mtoto.

lets stick to matter zenye tija kwa taifa mazee... je ukisikia mtu anadiscuss personal issues mpenzi/mwenza wako humu utajisikiaje?
 
Mtaani kuna uvumi kuwa festi ledi ana kibendi, waungwana wenye macho yenu ya utambuzi mnaliongeleaje hili?

Hii inaweza kuwa 'habari' endapo 'muhusika' wa huo ujauzito wa FL sio Rais, otherwise hakuna cha ajabu.
 
Jamani mna mponda bure mwanzilishi wa thread,kwa status ya yule mwanamke mbona hiyo inatosha kuwa habari!!!,Angekuwa Michelle Obama ndo ana mimba watu mngechangia positively.

Hata ingekuwa mimba ya Michelle hiyo ni yake na mumewe Obama haituhusu wazung ndio wanapenda kushabikia sio sisi waafrika
 
Mimi kwa mtazamo wangu naona poa tu si ajabu. Hata Mr Pesident bado anahamu ya kusikia vitoto vikilia lia. Au Labda Ni Mbinu ya Mr President Kupunguza safari za mama. Maana kwa sasa mama anakabana koo na mweshimiwa kwa safari!
 
kupata ujauzito si haki ya mwenye mume peke yake,hata hivyo kwa mwenye mume inanoga kuliko kwa yule asiekuwa na mume, mimi sioni tatizo first lady kuwa nja mimba, kwani litakiwa aombe idhini kwa nani?
 
Ooooh please,,,, great people discuss issues, this is very very cheap talk, unsubscribe please you are not adding value
 
Back
Top Bottom