Mke wa Rais ni MJAMZITO?

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Mtaani kuna uvumi kuwa festi ledi ana kibendi, waungwana wenye macho yenu ya utambuzi mnaliongeleaje hili?
 
Mbona watu walishaliletaga hapa!,ilo ni la siku nyingi tu.Uzuri mimba haijifichi,na ukiificha hautaficha mtoto.Hata hivyo sheria haimkatazi rais aliyeko madarakani kupata mtoto.
 
hizi thread nyingine jamani, sasa ajabu nini kwa mwanamke kubeba mimba?
 
kwani ni tasa hadi tushangae? yani cha ajabu ni nini kama ana mimba? mwanamke rijali aliyeolewa na mwanaume rijali na wanalala wote kila siku cha ajabu ni nini kuwa mjamzito? is it really an issue? wacheni kutupotezea muda wajameni lol
 
Ama kweli JF sasa imeingiliwa.
Yaani watu wazima na akili zetu na matatizo na changamoto tulizonazo bado kuna kati yetu ambao kazi yao ni kuangalia matumbo ya wake za watu ili kujua kama wana mimba au la? I just dont know what to say kuwa sisi wanajamii who dare to speak, who dare to analyse issues of national interest can stoop this low"""""'
 
Jamani mna mponda bure mwanzilishi wa thread,kwa status ya yule mwanamke mbona hiyo inatosha kuwa habari!!!,Angekuwa Michelle Obama ndo ana mimba watu mngechangia positively.
 
Sio ishu, she deserves kama kweli anayo, si mke wa mtu bwana kwani kafanya dhambi?
 
Glory to God. Neno la MUNGU linasema ......"zaeni muongezeke na mukaijaze nchi"
 
Mtaani kuna uvumi kuwa festi ledi ana kibendi, waungwana wenye macho yenu ya utambuzi mnaliongeleaje hili?

Badala ya kusdiscuss uvumi na tetesi ni afadhali tudiscuss reality i.e akinamama wajawazito waolala chini mwamanyamala, temeke na sehemu nyingine Tanzania. Tudiscuss ni jinsi gani tutapunguza vifo vya kinamama wajawazito. Hii ita add value kwenye forum.
 
Jamani mna mponda bure mwanzilishi wa thread,kwa status ya yule mwanamke mbona hiyo inatosha kuwa habari!!!,Angekuwa Michelle Obama ndo ana mimba watu mngechangia positively

Unaongelea status ipi inayomnyima mtu haki za msingi kisheria, kijamii na imani ya dini yake? Kweli Wadanganyika sasa tumepoteza mwelekeo! Thread kama hizi zinatakiwa kuwa aborted immediately. Rais na mke wake wana haki zoooote kupata mtoto regardless of age, social standing or anything.
 
To me that has an impact ktk mengi tuu!
JK At the age of 50+ unazaa mtoto jamani huo ni umri wa kulea wajukuu!
Lazima tuwe strategic ktk ilo na sio kuwa myopic.
Kama kweli hongera zake angalau atulie budget ya misafara itapungua ingawa kwe mwenzie itakuwa ndo ruksa!
 
kuna vitu vya kujadiri lakini si uja uzito wa mwanamke anayeishi na mume wake
kwani cha ajabu kipi hapo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom