Mke wa PILI wa JK

Status
Not open for further replies.

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
Waheshima, ndugu wana jukwaa wa jamiiforums naomba msaada kwenu. "Kuna taarifa zimezagaa kuwa JK ana mke wa pili aliyemuao wakati wa kampeni 2005. isitoshe mke huyo ni Muajemi (inarahisishwa kuwa ni Mwarabu) kwani ni dadaye Rostam Aziz."

Pia inadaiwa ndio maana JK hana ubavu wa kumueleza lolote RA pamoja na tuhuma zote zinazomuhusu ambazo ni kubwa kuliko za Yona na Mramba.

Narudia tena naombeni msaada wa kueleweshwa kuhusu hili.
 
Mods
I think this belongs to celebrities folder!!
 
Kwanza una post 13 umeona hapa sehemu ya kuuliza vitu vya ajabu ajabu mfate mwenyewe kamuulize
 
Ukweli aujua mwenyewe na ikiwa hii haimfanyi kukosa uwezo wa utendaji kazi kama rais haina dasi. Lets be deep thinkers and come out with real solutions to problems.
 
Ndio matatizo ya watoto wa darasa la saba kuwaachia mtandao !!,na wanaingia humu kuuliza upupu. swala ni la utendaji kazi wake raisi hata awe na wake 20 who cares ?.we tueleze nchi anaiendeshaje na anazingatia vipi maslai ya wananchi wake sio swala la ana sketi ngapi kwake camon pips !!!! wake up
 
Hao wake wote atakuwa anawalisha na nini?
 
Waheshima, ndugu wana jukwaa wa jamiiforums naomba msaada kwenu. "Kuna taarifa zimezagaa kuwa JK ana mke wa pili aliyemuao wakati wa kampeni 2005. isitoshe mke huyo ni Muajemi (inarahisishwa kuwa ni Mwarabu) kwani ni dadaye Rostam Aziz."

Pia inadaiwa ndio maana JK hana ubavu wa kumueleza lolote RA pamoja na tuhuma zote zinazomuhusu ambazo ni kubwa kuliko za Yona na Mramba.

Narudia tena naombeni msaada wa kueleweshwa kuhusu hili.

Maalim lazima uelewe kitu JK kama Musilam anaruhusiwa kuwa na wake 4 na hilo sidhani kama ni tatizo

Pili kama mwahili mwenzetu hii kwanza ameonyesha ni RIJALI na hakuna UBAYA wowote ule

Tatu al muhim mindhali kao kule AHLUL BAIT then thats fine with me
 
Lakini nadhani tatizo la mtoa mada si JK kuoa bali amemuoa nani? na hili lina impact gani ktk kazi tuliyomtuma ya kutuongoza waTz? na pengine kama kweli ameoa mbona imekua siri?
 
mbona mke wa Mbowe kawa siri na hataki kupiga naye picha

hilo mbona hamsemi?
 
Mkuu labda niliona makengeza
Yupo mbona? Kuna mwaka niliona picha yake akitoa msaada kwa timu ya Sayari. Ngoja nitafute mtandaoni kama itakuwepo. Au kama unazungumzia MKE nisiyemjua mimi hapo tutakuwa tumerusha taarifa masafa yasiyoshabihiana
 
Maalim lazima uelewe kitu JK kama Musilam anaruhusiwa kuwa na wake 4 na hilo sidhani kama ni tatizo

Pili kama mwahili mwenzetu hii kwanza ameonyesha ni RIJALI na hakuna UBAYA wowote ule

Tatu al muhim mindhali kao kule AHLUL BAIT then thats fine with me

Linapofika suala la ngono hamjambo!!!!!!
 
Kawaida sana kua na nyumba ndogo inasaidia hasa kwenye chakula cha mchana..ukirudi kazini unafanya kazi kwa kasiiiii
 
Duh, wanawake wote hawa TZ? kwa hiyo alienda kutoa mahari, mshenga alikuwa nani?

Isije ikawa ndiye anamshauri tujiunge OIC??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom