Mke wa pili sikai wa tatu ntakaa!!!

Asabaya kwani hii taarifa ina uhusiano na hii uliyoleta sasa hivi?
 
Last edited by a moderator:
wanawake bwana, badala ya kumkomesha huyo mwanaume mnakomeshana wenyeqe kwa wenyewe ili iweje? Mie ningekuwa mke mkubwa ningehakikisha nakomba mpunga wa kutosha nawekeza na kujirusha stress za nini wakati kuna watu kibao wenye uwezo wa kukupa raha ambazo mumeo anazigawa kwa wake wadogo?

Ndo nashangaaga hawa wanaolilia wanaume zao wakioa au wakiwa na nyumba ndogo huwaga hawana vision zingine za maisha zaidi ya mume! Ptuuuu!
 
Kupata mke mwenza inauma jamani..but na sie wanawake tunakua maselfish hatutaki wanawake wenzetu wastirike...ila tabu inakuja huyo anaekuja anakuja na vishindo tafran

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

Kushare mwanaume ndo kusitirika lols! Kwangu mimi ni fedheha na unyanyasaji!
 
Dah Jamaa anawakusanya, hapo mpaka wafike wanne.....!!
Kumbe wanawake wanapenda kuchangia ile kitu eeeeeh......!!!
Aaaaaiseeeeeee............!!!

Aaaa wapi ni mifumo ya maisha inalazimisha kukidhi tamaa za wanaume! Hayumo anayefurahia na wanaokubali mara nyingi nao wana mabwana wa pembeni kupoza moyo!
 
Back
Top Bottom