Mke wa mugabe na gavana wa benki

kweli nimeamini maisha ni risk na ili ufanikiwe lazima uchague risk moja yani mugabe kama mugabe unakwenda kumchakachulia mke wake du
 
kweli nimeamini maisha ni risk na ili ufanikiwe lazima uchague risk moja yani mugabe kama mugabe unakwenda kumchakachulia mke wake du
Tatizo ni kuwa kwanza First Lady hatosheki kwani Babu Muga anashindwa kumtosheleza kwani kwa kijana kama Grace anataka moto mara moja ,sasa babu Muga mpaka atafute Ngisi na pweza wapi na wapi,pia tukumbuke hata kwa Mswati watu walifanya vivyo hivyo kwani malikia uvumilivu ulimshinda mpaka amaliza kuzunguka boma 12 si miezi.Jamani wanawake wanatakiwa kupendwa na kujaliwa na pia wanastahili kupata chakula chao cha usiku kama kawa pale wanapo ji feel na si mpaka babu ale ngisi au Mfalme amalize boma 12
 
gono-bob-praying.jpg

Msaliti mwenyewe huyu hapa...anacheeka

Oooh the guy is praising the Lord for giving him Mugabe! Haya mambo yakujenga systems zetu kwenye misingi ya uongo uongo!
 
Dah! yani nikirelate hiyo picha na tukio linaloongelewa hapa nacheka mpaka mbavu zinaniuma.
 
Jamani hicho kibabu Mugabe kinaweza kuwa na mjukuu age ya Grace, sasa unatarajia nini? Tafauti ya miaka 41 inaweza kabisa kumpa mjukuu wa age hiyo.

Mama bado anataka kuruka majoka yeye analala katikati ya mechi mambo yatakweenda vipi hivo?

Ndiyo maana akawa anadokoa dokoa ijapokuwa risk ni kubwa lakini huyo ni kijana mwenzake na age difference siyo kubwa.
 
Zimbabwe wana Viagra lao la kienyeji ni balaa. When the woman is fed up there is nothing you can do Aliimbaga R.Kelly baada ya yeye kumwagwa na Aaliyah!
 
hahaha mie sitetei mambo ya infidelity lakini umri wa Mugabe kwa sasa atakuwa ana underperform hehe i mean poor performance

Lakini na yeye akubali its pay back time maana na yeye alifanya the same ila jamaa umri umeenda perfomance uwanjani naona imeshuka hata akipewa apige penati na golikipa akiwa hayuko golini still anaweza kukosa
 
Zimbabwe wana Viagra lao la kienyeji ni balaa. When the woman is fed up there is nothing you can do Aliimbaga R.Kelly baada ya yeye kumwagwa na Aaliyah!

Umenikumbusha kisa cha long time kweli mzee mzima alikuwa kafika pale
 
hao ndio wanaume wa shoka kweli yan mpaka kumzunguka mzee mzima na kuchakachua my wife wake na ubabe wote alionao kweli akuna lisilowezekana chini ya jua mh
 
hao ndio wanaume wa shoka kweli yan mpaka kumzunguka mzee mzima na kuchakachua my wife wake na ubabe wote alionao kweli akuna lisilowezekana chini ya jua mh

unaonaje? apewe nishani au siyo? awahi kukimbia kabla hajapewa hiyo nishani ya ushujaa posthumously
 
Back
Top Bottom