Mke wa mtu!

Kama utaona mie nimemwuliza ulianza nae wa nini? Hicho ni kiherehere chake tu kashapata alichopata sasa hivi ndo anaona anang'ang'aniwa

Mke/ mume wa mtu ni sumu mkuu, kama bado hamkufanya ni vyema kutojiingiza ktk hilo tendo naye na kama ulishafanya pls acha mara moja.
 
Fikiri zako fikira, ufikiri kila tendo,
Fikiri lilo na dhara, ufikiri na Ia pendo,
Fikiri lilo tohara, ufikiri na uvundo,
Fikiri fikiri tendo, Ia amani na busara.
 
Kaka pima na chukua hatua, lakini kaa ukijua na mke wako anamng'ang'ania kidume fulani inawezekana bila huyo mtu kujua au kwa kujua kama wewe. Hivyo tatizo hilo tunalo wengi kaka maamuzi yako usije yajutia.
 
Angekuwa mke wako tunamjadili humu ingekuwaje? Mke wa mtu mlinde si kuchakachua .....

Ujue mlaji huliwa na yeye anaye penda kula wake za watu ipo siku kama si mke wake kuliwa utaliwa yeye!
 
Self-respect is the root of discipline: The sense of dignity grows with the ability to say no to oneself.
 
Wasiliana na huyu jamaa akupe mikakakati:


3.jpg
 
Back
Top Bottom