Mke wa mtu.

we tayari unamfahamu mke wa mtu! kwa maelezo yako it seems u like em. . .! Kwani wa mtu ameongezewa sukari?
 
ukitaka kujua utamu au uchungu wake, gonga hapa:

https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/31404-chungu-ya-mke-wa-mtu.html


ukiona bado hujatosheka na utamu wake gonga hapa pia:

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/30523-faida-za-kutembea-na-mke-wa-mtu.html


over.
icon10.gif
 
Cha kuiba daima ni kitamu - hata kama ni cha hatari namna gani. Jaribu kujifanya kama unamuiba mkeo na utaona matokeo yake...
 
ndoa kweli zinafurahisha..ndiyo maisha lkn..usipokula wenzio watakula vyako..lkn kuwa mwema..japo usitegemee watu watakuachia mkeo kwa wema wako..
 
ndoa kweli zinafurahisha..ndiyo maisha lkn..usipokula wenzio watakula vyako..lkn kuwa mwema..japo usitegemee watu watakuachia mkeo kwa wema wako..
You are down 2 earth man.
Maisha tunayoishi ndivyo yalivyo.
 
Hizo ni tamaa za wote wawili - Ni sawa na kwenda hotelini kula chakula na mwenzako, kila mmoja anaagizia kile anachopenda kula lakini vyakula vinapoletwa kila mtu anaona cha mwenzake kitamu zaidi na anatamani angeagiza kama hicho. "AIDS IS FOR REAL... TAKE CARE GUYS"!!!
 
Hi..
Tokea zamani kuna msemo kwamba mke wa mtu ni mtamu...Je kuna ukweli katika Jambo hilo? Kama ni kweli, ni kwa vipi anatofautiana na mamsap?
Ukila mke wa mtu, na wako akija liwa usije rusha ngumi. Na kama huna mke, wenye wako zao watakutafuna wewe.
 
Mke wa mtu ni SUMU na usithubutu kujaribu hilo.
Tuta kukosa bure kama utajaribu.
 
Kwa kifupi sio jambo la kuendekeza imagine nawe mkeo awe analiwa utafurahi.
Naona utamu wanaouongelea watu ni kuwa wewe unakuwa kama mteja kwake so atafanya kila majonjo ili mradi umtimizie haja yake yake hasa ya kuhonga kitu.
Hayo ni maoni yangu ila ni tabia chafu si nzuri
 

Na Joseph ngilisho, Arusha

Kijana mmoja mkazi wa Mianzini katika Manispaa ya Arusha ambaye ni fundi magari aliyetajwa kwa jina la Denis Dismas (21), hivi karibuni alionja joto ya jiwe baada ya kufumaniwa akila uroda na mke wa mtu, kisha kukatwa nyeti zake...

Tukio hilo la kufedhehesha lilitokea Juni 9, mwaka huu majira ya saa 3 usiku baada ya mwenye mali aitwaye Marco William kumnasa Denis akipewa mahaba mazito chumbani na mke wa mtu huyo aliyetajwa kwa jina la Glory Willfred.

Akizungumza kwa tabu akiwa amelezwa katika wodi ya majeruhi katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, Dismas alisema kuwa, aliingia kwenye uhusiano na Glory bila kujua kuwa ni mke wa mtu hadi pale alipofumaniwa na kufanyiwa kitu mbaya.

Akielezeaa ishu ilivyokuwa siku ya tukio Dismas alisema: “Nilifika pale usiku, nikala chakula lakini wakati tunaponda raha mara nikasikia mlango unagongwa, nilipomwangalia mwenzangu nikaona kakosa raha kabisa huku akinitaka nijifiche kabatini nisije nikauawa.

“Kwa hofu niliyokuwa nayo, nikaingia kabatini na ndipo mwanaume huyo alipoingia na kuanza kumuuliza mkewe kuhusu hali ilivyokuwa mle ndani.

“Baada ya muda akashtukia kuwepo na mtu kabatini ndipo alipolifungua na kunikuta nimejibanza ambapo alinitoa na kuanza kunipa kipigo huku akishirikiana na jamaa zake.

“Kama hiyo haitoshi, walichukua kisu na kuanza kunikata sehemu zangu za siri na kuzitupa huku sehemu iliyobaki wakiipondaponda kwa mawe hadi nikazimia kisha wakanitelekeza barabarani,”alisema Dismas huku machozi yakimtiririka.

Akaongeza kuwa, baada ya kutelekezwa akiwa hajitambui, walitokea wasamaria wema ambao walimchukua na kumpeleka hospitalini.

Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Basilio Matei alipoulizwa juu ya tukio hilo alisema hana taarifa na kwamba iwapo taarifa zitamfikia mezani kwake, atalifuatilia ili kuwasaka watuhumiwa waliotenda unyama huo. Aidha, Dismas ambaye hali yake kwasasa ni mbaya amewaomba ndugu pamoja na marafiki zake waishio Moshi kujitokeza kumsaidia kwani tangu amefikishwa hospitalini hapo hakuna hata mtu mmoja aliyekwenda kumuona.



Source:
Ijumaa Wikienda
 
.. watu hawana kinyaa , kila siku anaukeshea we unatamani hapohapo.khaa! single wapo kibao, ujilie kwa uhuru.demu au mke wa mtu wa kazi gani?
 
Yaani wadada wanawatamani waume za watu wakaka nao wanatamani wake za watu what a world

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hi..
tokea zamani kuna msemo kwamba mke wa mtu ni mtamu...je kuna ukweli katika jambo hilo? Kama ni kweli, ni kwa vipi anatofautiana na mamsap?
kweli!ulivyouliza hapa nimeenda kumtesti wa kwako nimekuta ni kweli aisee!ila sijajua ni kwa nini?
 
Back
Top Bottom