Mke wa mtu sumu, jamaa kakatwa dushe

A
Poa tu, ila nisijue

Mbona mimi huyo nilikuwa natembea nae na mmewe hajui na hakukuwa na shida mpaka alivyoanza kunogewa na kumnyima mmewe unyumba nikamwambia chapa lapa sitaki kufumuliwa marinda.... Sasa kumbe bora marinda ukikata mtarimbo nitaishije unafikiri.... Ha ha ha

Ahaa mkuu kufumuliwa marinda duu nini? Sasa badala ya kumpa pole unamlaumu shetani na pepo la ngono limemponza
 
Hii Nimeipenda Sana.Na Naichukua Kama Ekizampo.Nikikufuma Na MamaSolomonii Wangu Na Mimi Nakunyofoa Kifanyio Chako.Naenda Kukichoma Kama Mishikaki Ya Babakyu!
 
Pole zake. Lakini hao wataalamu wa Afya hawajamstahi kwa kitendo cha kumpiga picha. Tulifundishwa kuheshimu "Patient's confidentality." Kama ingekuwa nchi za wenzetu KESI ya madai ingewahusu hawa. Anyways, watanzania (Waafrika) wengi bado ni Ignorant sana kiasi cha kujua haki zao katika mambo mengi yanayowahusu.
 
KHAH kwani mkewe kaachiwa alama? by the way UMU imezidi nguvu MAZIWA.
 
Ukimakata dudu mwanaume mwenzio kama hivi. Jiridhishe hujawahi kutembea na mke wa mtu. Aliyemkata huyu dudu inawezekana kabisa na yeye alishawahi kumgonga mke wa mtu. Na kuna siku itarudi kwake.

Mnaojifanya mna wivu sana na wake zenu. Kwanza mjichunguze. Unakuta mke mwanzo mwisho karaha. Halafu unakata dudu LA mwenzio kirahisi. Mwisho wake unaenda jela na mkeo anazidi kupigwa tu.

Sasa huyu jamaa kama ni mganga wa kweli halafu umemfanya hivi na wewe ni Malaya subiria kichapo chake.
Na wew ndo walewale nini
 
Mwanaume utakatwaje uume na mwanaume mwenzako! Watu muwe mnapiga nondo ili kujiweka fiti ila sikubaliani na kuchepuka na mke wa mtu.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom