Mke wa mtu mtamu bwana

babu habari ya asubuhi umeisharudi au bado uko maeneo yale yale????

Nimerudi kajukuu.

Sasa nashangaa asubuhi hii. Mbona wanakuwa wakali? Au kwa kuwa ni mambo ya watu wazima basi hawataki yasemwe hadharani?

Babu ameachwa hoi!
 
tatizo watu wa aina hii ni wasumbufu sana hata kama mkeo hataki, linavizia sana na halina aibu, na ndoi maana wanaume tunasemekana wabaya lakini unakuta dume kama wewe na huyu mwanzisha maada wailitu mnaharibu watu hadi laki. Conclusion: eti wanaume ni wadanganyifu. Kiufupi kuna wanaume ambao unadhani baba zao ni shetani mwenyewe original!!!
Acheni mtakufa mtarogwa na kufa vifo vya aibu!!:hungry:

Ukweli mara zote huwa watu wanauchukia - Binafsi si halalishi mke ku do nje ya ndoa yake...

Bali wanaofanya hivyo kwa ukweli wa dhati wanapata UTAMU - Usiwe na hasira - Ndiyo maana wanafanya hivyo!!!
 
Ukweli mara zote huwa watu wanauchukia - Binafsi si halalishi mke ku do nje ya ndoa yake...

Bali wanaofanya hivyo kwa ukweli wa dhati wanapata UTAMU - Usiwe na hasira - Ndiyo maana wanafanya hivyo!!!

Unajua Baba E,

Leo nimeshangaa sana kuona watu wanakuja juu. Nadhani wengi wetu hatupendi kuguswa kwa mambo tunayoyafanya sirini tukidhani kwamba ni siri zetu hadi kufa. Nashindwa kuelewa kwa sababu wanaume wengi tu wanatembea nje ya ndoa kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo haiwezekani kwamba wanaume wote hao wanaotembea nje ya ndoa wanafanya hivyo na mabinti wadogo tu. Ina maana kuwa wapo wengi pia wanaotembea na wake za watu. Kwa ufupi wake na waume za watu (may be na mimi pia pamoja na mke wangu) wanatembea nje ya ndoa. Sasa kinachofanya watu wapandishe hasira ni nini? Tena ukizingatia mtoa mada kaanza kwa kutoa angalizo kwamba ni jambo la hatari. Hapa kuna mambo mengi yanayojidhihirisha bila wahusika kujua wala kutaka hivyo.

Babu ataendelea kuyaangalia kwa jicho lake la 1947!!
 
kweli duh haya matege ya mapenzi sijui yataisha lini

:target:

Chauro,

Hayawezi kuisha. Siku yakisha ujue watu wote wamekuwa malaika na kwa maani hiyo dunia itakuwa imefika mwisho wa safari yake!
 
Kweli jamani najua sana madhara yake ila mke wa mtu mtamu bwana. Kwanza ni nzuri kama wote mnaiba. Yani mwanaume kaoa na mwanamke kaolewa, yani mkikutana kwenye kuchakachua penzi utamu wake hauni kifani.
Manina zako hivi katika wanawake wooote unaona aliyeolewa ndio deal yaani wewe your a living dead.
 
Kweli jamani najua sana madhara yake ila mke wa mtu mtamu bwana. Kwanza ni nzuri kama wote mnaiba. Yani mwanaume kaoa na mwanamke kaolewa, yani mkikutana kwenye kuchakachua penzi utamu wake hauni kifani.
Nahc JF inageuka facebuk tartiiibu!!:redfaces:
 
Ndugu wanajamii,

Ninaamini hapa kwenye forum kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake,Lakini kwa upande wangu ninashauri tutoe maoni yenye kuijenga jamii yetu ya Kitanzania.Kwa mfano sikubaliani na mtoa mada kuhusu kuiba penzi la mke ambaye ameolewa,hawa ni watu ambao ni kikwazo katika vita vya kupambana na ukimwi,Mimi ninashauri kila mtu aridhike na mke wake na kwa wale ambao hawajaoa wasubiri.

Maoni ya kujenga jamii ni muhimu kwenye forum hii,

Asante na Mungu wa Amani atupe fikira chanya

Elisante Yona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom