Mke wa mtu mtamu bwana

ukiwa na watoto wengi kubali kuwa utapata mshindonyuma wa kila aina
na hii ni moja ya madhara ya kuwa na watoto wengi wenye tabia tofauti tofauti

ila ukimwi upo na wauwaaaaaaa
kondom kwa maisha yako

mapinduziiii daimaaaaaa
 
Nyanzala wangu upo hapo???haya mi nakuangalia tu umeshika tissue mkononi unajifuta machozi ..teh teh
 
Mbona wachangiaji wamejawa na hasira kiasi hiki? Hamuamini katika ndoa zenu? Kama wake zenu au waume wenu wana do nje ni lazima watakuwa wana-enjoy zaidi huko nje (right?)
 
Kweli jamani najua sana madhara yake ila mke wa mtu mtamu bwana. Kwanza ni nzuri kama wote mnaiba. Yani mwanaume kaoa na mwanamke kaolewa, yani mkikutana kwenye kuchakachua penzi utamu wake hauni kifani.

Sawa umeshika pabaya ndugu yangu nakuonya ukweli mke wa mtu nimchungu ikiwezekana mkimbie kama ukoma!!Waliopenda wake wawatu wengi walikiona cha moto!!Sivitu vya kushangilia ndugu ujiulizi ukiwa naye kwa nini unakuwa huna amani??kwani hiyo ndiyo sababu kuu kwamba mke wamtu she doesn't fit anywere!!Unajifariji na umauti!!!
 
Dah ujue hata mkeo mtamu kishenzi ,na ujue watu mkeo wanagonga hadi tigo.
Wewe unavyoona wa wenzio mtamu ujue hata mkeo mtamu sasa na anakunywa hadi maji ya nazi hadi kooni limekaukaaaaaaaaaaaaaa.
Take care kijana
 
kwani wewe na shetani mnakaa nyumba moja? Na ufe halafu usahaulike. naogopa natamani kije nikugongomee mangumi madhara makubwa ndo wewe unaleta!!!! Duh!!:whoo:
Kweli jamani najua sana madhara yake ila mke wa mtu mtamu bwana. Kwanza ni nzuri kama wote mnaiba. Yani mwanaume kaoa na mwanamke kaolewa, yani mkikutana kwenye kuchakachua penzi utamu wake hauni kifani.
 
tatizo watu wa aina hii ni wasumbufu sana hata kama mkeo hataki, linavizia sana na halina aibu, na ndoi maana wanaume tunasemekana wabaya lakini unakuta dume kama wewe na huyu mwanzisha maada wailitu mnaharibu watu hadi laki. Conclusion: eti wanaume ni wadanganyifu. Kiufupi kuna wanaume ambao unadhani baba zao ni shetani mwenyewe original!!!
Acheni mtakufa mtarogwa na kufa vifo vya aibu!!:hungry:
Mbona wachangiaji wamejawa na hasira kiasi hiki? Hamuamini katika ndoa zenu? Kama wake zenu au waume wenu wana do nje ni lazima watakuwa wana-enjoy zaidi huko nje (right?)
 
Kweli jamani najua sana madhara yake ila mke wa mtu mtamu bwana. Kwanza ni nzuri kama wote mnaiba. Yani mwanaume kaoa na mwanamke kaolewa, yani mkikutana kwenye kuchakachua penzi utamu wake hauni kifani.

Hivi wewe umeoa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom