Mke wa mtu huyu nimfanyeje?

Mwenzio aliwahi shauriwa hapa kuwa cha mtu m a v i akaendelea matokeo kaja kuaga kuwa tutaonana paradiso. wewe nawe aga kabisa mi mama nakwambia R.I.P. in advance.
 
Jamani nimependana sana na mke wa mtu na tayari tumepeana promice na huyu mama kwakweli ananipenda sana the same to me, wanajf vipi hivi kweli nitembee naye au nimwache na kasema anatamani sn apate penzi langu.
Maliza masomo kwanza bwana mdogo, pia mke wa mtu ni sumu!
 
Mbona mabinti wao wanachukua waume za watu? Kwa nini sisi tusichukue wake za watu. Wanaume bwana vibinti vya size yetu vyote mshachukua acha na sisi tuhamie kwenye wake zenu tuone nani mkubwa sasa.
 
Mwenzio aliwahi shauriwa hapa kuwa cha mtu m a v i akaendelea matokeo kaja kuaga kuwa tutaonana paradiso. wewe nawe aga kabisa mi mama nakwambia R.I.P. in advance.

umenichekeshajee?
Ha ha ha....
Na inategemea kama atawahi huko paradiso...
 
Back
Top Bottom