Mke wa mtu anifanyia ubandidu

Hapo ubapofanya Kazi Ni tuition za qualifying test ya form two? Maana inaendana na hii Hadithi yako!

QUOTE=Msemaovyo;4646822]Wanajukwaa nina kama mwezi mmoja hivi tangu nimejiunga na ofisi flani hapa mjini na nilipoingia kutokana na kijipanga sawa sawa wadada wa ofisi hii wakaanza kuleta mazoea ya kienyeji.

Sikuchukua muda nikaibuka na aliyekuwa bora miongoni mwao na ni mke wa mtu kwa kumpa maneno yake matamuu akahisi kaiona pepo.Sasa last friday nimekuja na wife ofisini basi leo kanuna hanisalimii akajua. Ntajali just to find out niko happy na watoto wengine hapa ofisini.

Time hii natoka nje nakuta tairi za kigari changu 2 hazina upepo yaani nimeishiwa nguvu kabisaa!!
[/QUOTE]

Foleni ya Mjini ukiizoea pia ni ulevi.Pole ndugu yangu
 
We na wewe si ni mume wa mtu basi mfanyie ubandidu squared!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom