Mke wa mtu anifanyia ubandidu

Captain Phillip

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
894
536
Wanajukwaa nina kama mwezi mmoja hivi tangu nimejiunga na ofisi flani hapa mjini na nilipoingia kutokana na kijipanga sawa sawa wadada wa ofisi hii wakaanza kuleta mazoea ya kienyeji.

Sikuchukua muda nikaibuka na aliyekuwa bora miongoni mwao na ni mke wa mtu kwa kumpa maneno yake matamuu akahisi kaiona pepo.Sasa last friday nimekuja na wife ofisini basi leo kanuna hanisalimii akajua. Ntajali just to find out niko happy na watoto wengine hapa ofisini.

Time hii natoka nje nakuta tairi za kigari changu 2 hazina upepo yaani nimeishiwa nguvu kabisaa!!
 
Wewe si Msemaovyo? Sasa kesho ukifika ofisini anza kumsemeaovyo mpaka atubu. . .
 
Hii ilete MMU.

Lakini ukae ukijua mke wa mtu ni sumu.
Leo katoba tairi, kesho anaweka sumu ya panya kwenye kikombe cha chai.

Tunza familia yako mkuu Achana na wake za watu, watoto wako wasije wakakukosa.
 
Nawe Papitie mara mbilimbili hapo juu sio unamshauri mwenzio tu.
Usije sema Shetani amekupitia siku hiyo.
 
Unatembelea tairi vipara unamsingizia dada wa watu. Angetaka kukufanyizia angekiwasha moto hicho kigereti chako aone utavyosota na ma3 hadi mkopo wa saccoss upitishwe!
 
Hapo ubapofanya Kazi Ni tuition za qualifying test ya form two? Maana inaendana na hii Hadithi yako!

QUOTE=Msemaovyo;4646822]Wanajukwaa nina kama mwezi mmoja hivi tangu nimejiunga na ofisi flani hapa mjini na nilipoingia kutokana na kijipanga sawa sawa wadada wa ofisi hii wakaanza kuleta mazoea ya kienyeji.

Sikuchukua muda nikaibuka na aliyekuwa bora miongoni mwao na ni mke wa mtu kwa kumpa maneno yake matamuu akahisi kaiona pepo.Sasa last friday nimekuja na wife ofisini basi leo kanuna hanisalimii akajua. Ntajali just to find out niko happy na watoto wengine hapa ofisini.

Time hii natoka nje nakuta tairi za kigari changu 2 hazina upepo yaani nimeishiwa nguvu kabisaa!![/QUOTE]
 
Hii ilete MMU.

Lakini ukae ukijua mke wa mtu ni sumu.
Leo katoba tairi, kesho anaweka sumu ya panya kwenye kikombe cha chai.

Tunza familia yako mkuu Achana na wake za watu, watoto wako wasije wakakukosa.[/QUOT

Mkuu Rutta nililiona hili na nilijua napita tu mara moja ila shuruba aliyonipa leo ni Mungu tu anajua.Halafu kapita anaenda kwenye Ki-vitz chake kakunja sura huyo!!
 
Unatembelea tairi vipara unamsingizia dada wa watu. Angetaka kukufanyizia angekiwasha moto hicho kigereti chako aone utavyosota na ma3 hadi mkopo wa saccoss upitishwe!

Duh hapo sasa ndo unaonesha kuunga mkono kabisa uharibifu huu!!Hali hii sikupenda initokee ni mtu aliyeamua kuwa irrational katima maamuzi yake
 
Yaani mbili 2,hiyo ni trela 2 subiri mkanda mzima si unafikiri we mwanaume sana eh,unaopoa tu eh?haya kesho utanihadithia mengne,kwa mkeo,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom