Mke wa mtu ananipenda nifanye nn na ananitishia maisha

Asikufisidi bure achana nae hiyo yake imesha kwende KM/ zakutosha asikuwangie mtu mzima ovyo....
 
muulize waziri wenu wa sheria hapo chuoni kwenu nini cha kufanya, ikishindikana kamchukulie RB.
 
Mbona hujui kudanganya? Tittle inasema amekutisha kukuuwa huku ktk habari yenyewe akakutisha atakutengenezea skendo sasa tukueleweje? Waswahili wanakuambia siku zote ukitaka kudanganya kuwa na kumbukumbu nadhani next time ukija kudanganya tena humu utalikumbuka hilo

umeona eeh,hii ni story ya kupikwa,dogo jipange upya,usituletee uongo hapa ban..
 
Wanajukwaa wenzangu mm ni mwanafunzi ktk chuo kikuu kimoja hapa nchini tatizo langu ni kwamba nina soma chuo kimoja na mama MTU mzimza na ni mke wa mtu tatizo lake haishi kuja chumbani kwangu eti anasema ananipenda na anataka Nimpe Penzi na yeye atanipa kila nitakacho na mm sitaki kwani ni mtu na familia yake na familia ni watoto wakubwa kama mm na huwa wanakuja kumtembea hapa na nina waona. nilisha fanya mbinu ya kuhama nyumba ila amechunguza na mpaka amejua naishi wapi na kuja kunifuata na sasa amefika mbali kiasi cha kunitishia kama sitaki kumpa anachotaka atanitengenezea sikendo hebu nishaurini nifanye nn Ndungu zangu ilikujitoa huku
With your university level! ..................... unashindwa kumpa majibu? kuna uwezekano ulimjengea mazingira mwenyewe and what you want from here is justification of your intention!!!!!!!!!!!
 
nime waelewa jama sasa goja nitawapa majibu imekuwaje then kwa yule aliyeuliza umri wangu nina 22 na nipo mwaka wa kwanza all in all thanx Bandungu
 
ebu waza twice bhana unaniangusha,we mtu wa chuo kikuu huwezi kushindwa mtihani huo ndogo
 
Angekuwa mkeo anapendwa na njemba kama wewe ungefanya nini? Unaweza kufanya lolote leo ila kama litakuwa kinyume atafanyiwa mkeo amini usiamini.
 
uko hapo chuo kusoma, achana na mambo ya wanawake hasa hiyo mijitu uzima..atakuharibia tu maisha yako, maza nae mtu mzima ovyoo tu badala ya kusoma na kufikiria familia yake inaweza penzi tu na vijana :frusty:
 
Back
Top Bottom