Mke wa mtu ananipenda nifanye nn na ananitishia maisha

Skp2ole

Senior Member
Oct 13, 2011
107
5
Wanajukwaa wenzangu mm ni mwanafunzi ktk chuo kikuu kimoja hapa nchini tatizo langu ni kwamba nina soma chuo kimoja na mama MTU mzimza na ni mke wa mtu tatizo lake haishi kuja chumbani kwangu eti anasema ananipenda na anataka Nimpe Penzi na yeye atanipa kila nitakacho na mm sitaki kwani ni mtu na familia yake na familia ni watoto wakubwa kama mm na huwa wanakuja kumtembea hapa na nina waona. nilisha fanya mbinu ya kuhama nyumba ila amechunguza na mpaka amejua naishi wapi na kuja kunifuata na sasa amefika mbali kiasi cha kunitishia kama sitaki kumpa anachotaka atanitengenezea sikendo hebu nishaurini nifanye nn Ndungu zangu ilikujitoa huku
 
Nenda kareport police ukiwa na ushahidi wa kueleweka,mfano wakati akija kwako kukutisha weka simu yako kwenye record mode, urekodi kila maongezi yake. Ukimuona anatokea kuja kwako basi set mapema. Na pia washirikishe wapangaji wenzio pindi anapokuja ili ushahidi ushibe. Vinginevyo atakufanyia kitu mbaya sababu anaona anadhalilika kwako ameomba tunda umemtosa ni aibu kwake. Wakati huohuo nenda kaandae RB police mapema hata sasa hivi.
 
Achana naye huyo shetani atakuharibia future bure. Hivyo, ni vitisho tu wala usihofu. Kwanini usimpe ukweli na ajue hilo? mbona unashindwa kuwa mwanamme? mwanachuo mzima unayetegemewa na familia yako na jamii ktk kufanya maamuzi mazito unashindwa na hilo? kisa anakutisha? acha upuuzi wewe, amka na usimame kwa miguu yako 2 na useme NO kwani wewe ndiyo una future yako mkononi na si mtu mwingine. Kuwa mwanamme na useme no na uendelee na mambo yako.
 
Sioni cha kuogopa hapo
Humtaki , Mwambie ukweli
Skendo ya kutengeneza hainaga mshiko,

Kuwa na maamuzi ya kwako, wala sio hofu
 
Wanajukwaa wenzangu mm ni mwanafunzi ktk chuo kikuu kimoja hapa nchini tatizo langu ni kwamba nina soma chuo kimoja na mama MTU mzimza na ni mke wa mtu tatizo lake haishi kuja chumbani kwangu eti anasema ananipenda na anataka Nimpe Penzi na yeye atanipa kila nitakacho na mm sitaki kwani ni mtu na familia yake na familia ni watoto wakubwa kama mm na huwa wanakuja kumtembea hapa na nina waona. nilisha fanya mbinu ya kuhama nyumba ila amechunguza na mpaka amejua naishi wapi na kuja kunifuata na sasa amefika mbali kiasi cha kunitishia kama sitaki kumpa anachotaka atanitengenezea sikendo hebu nishaurini nifanye nn Ndungu zangu ilikujitoa huku

Mbona hujui kudanganya? Tittle inasema amekutisha kukuuwa huku ktk habari yenyewe akakutisha atakutengenezea skendo sasa tukueleweje? Waswahili wanakuambia siku zote ukitaka kudanganya kuwa na kumbukumbu nadhani next time ukija kudanganya tena humu utalikumbuka hilo
 
Kwani tatizo nini sasa?..si umpe ulichonacho na anachokitaka??...au dogo hujiamini?...umri kama mamako lakini sio mamako..age aint a thing but just a number....kuwa dogooo.
 
aaaaaaah, dogo unaniangusha bana, zali hilo, we mega tu, au kama vipi niPM namba zake nikusaidie
 
huyo mama hana hata mshipa wa aibu jamani?weka ushahidi,anayokwambia yote,mpelekee mume wake.ukiona hivyo,ndio tabia yake huyo mama kutongoza dogodogo
 
Wanajukwaa wenzangu mm ni mwanafunzi ktk chuo kikuu kimoja hapa nchini tatizo langu ni kwamba nina soma chuo kimoja na mama MTU mzimza na ni mke wa mtu tatizo lake haishi kuja chumbani kwangu eti anasema ananipenda na anataka Nimpe Penzi na yeye atanipa kila nitakacho na mm sitaki kwani ni mtu na familia yake na familia ni watoto wakubwa kama mm na huwa wanakuja kumtembea hapa na nina waona. nilisha fanya mbinu ya kuhama nyumba ila amechunguza na mpaka amejua naishi wapi na kuja kunifuata na sasa amefika mbali kiasi cha kunitishia kama sitaki kumpa anachotaka atanitengenezea sikendo hebu nishaurini nifanye nn Ndungu zangu ilikujitoa huku

Sasa Chuo kinakusaidia nini?? After all, tunapata experience ya vitu kama hivyo kutoka vyuoni, kama amejileta kula, then kesho yake akirudi mzushie mwizi na washikaji wakiwepo, au njoo nikuazime mtutu umgusishe kwenye shingo yake apate kaubaridi hatarudi ng'o!!
 
Siku 1 nenda kamtembelee ukiwa na mpenzi wako, halafu mtambulishe mpenzi wako kwake. Hawa viumbe wakikataliwa wanapatwa na hasira mbaya sana. Mchukue huyo mama mkapime, akiwa safi kula mambo kama mara 2 halafu kula kona ya ajabu. Urudi kwa mpenzi wako. Kidume halisi hakijui kukataa mara nyingi.
 
Kaa nae mbali sana. wala usijaribu hata kidogo kuingia kwenye mahusiano haramu kama hayo.
 
Wanajukwaa wenzangu mm ni mwanafunzi ktk chuo kikuu kimoja hapa nchini tatizo langu ni kwamba nina soma chuo kimoja na mama MTU mzimza na ni mke wa mtu tatizo lake haishi kuja chumbani kwangu eti anasema ananipenda na anataka Nimpe Penzi na yeye atanipa kila nitakacho na mm sitaki kwani ni mtu na familia yake na familia ni watoto wakubwa kama mm na huwa wanakuja kumtembea hapa na nina waona. nilisha fanya mbinu ya kuhama nyumba ila amechunguza na mpaka amejua naishi wapi na kuja kunifuata na sasa amefika mbali kiasi cha kunitishia kama sitaki kumpa anachotaka atanitengenezea sikendo hebu nishaurini nifanye nn Ndungu zangu ilikujitoa huku
mshtue mumewe...
 
Back
Top Bottom